Mwanamke mjinga:-
1. Anamkomoa mumewe.
2. Analala mapema kabla ya mumewe.
3. Anachelewa kuamka kabla ya mumewe.
4. Mbishi, anahisi kuonewa mda wote.
5.Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni kumkomoa
6. Mmekaa sebuleni anahadithia tu mafanikio ya familia za
watu wakati yeye ndo kigezo cha kero.
7. Hataki kuzungumzia mshahara wake.
8. We unajenga familia ye anajenga kwao
9. Mkikaa anaanza umbea ama kuponda ndugu na majirani.
10. Haridhiki (mwanaume unatoa jasho, ila ye anakudiscourage
wakati Ye akishuka kwenye kochi anakaa Kwenye jamvi na baadaye anelekea saloon
kupiga umbea. kuhusu lara 1 kafumaniwa gesti.
11. Nyumbani housegirl hapumziki. 1
12. Anajali ajira yake tuu na hataki kufuatiliwa mambo yake.
NOTE: Akikutana na mwanaume kichwa ngumu anamrudisha kwao
ameshazalishwa watoto 3, anaenda kwa mwingine anaongezewa watoto 2,
anazinguliwa anapigwa toto lingine na wajanja wa mtaani, unakuta kazaa na kila
familia mtaani baadaye anaishi ghetto au kwao.
Mwanamke mwerevu;
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya
kuoga yapo bafuni" (mwanamke adimu sana)
2. Unajiandaa kwenda kazini, nguo zishapigwa pasi (jamani
hiyo kazi kafanya saa ngapi? unajikuta unaenda kazini upo kwenye daladala
kimoyo moyo unamwambia "I love u honey"
3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi, hujui hata atazifua
saa ngapi maana huwa hujui anazifua saa ngapi?
4. Umejipumzisha kwenye kochi au kitandani mara kakukalia
mgongoni anakufanyia masaji mgongoni, ( alijuaje unataka ufanyiwe masej?
Unaishia kusema Thanks baby).
5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia na
unaweza kumpa mtaji mana ni mkweli (ni baraka kwenye familia)
6. Anapenda ndugu zako (siyo mama mkwe akija anasimamisha
pua juu kama nyati anatafuta maji)
7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu, mf: umefukuzwa kazi
anakushauri (baby hayo ni maisha tu, usijali utafanikiwa kama vipi tusimamie
ule mradi wangu mpk uajiriwe).
NOTE: Hawa ndio type ya kuoa na kunyenyekea maana
wanajielewa.
Ushuhuda Wangu wa Kutoka Moyoni 💖
JibuFutaBaada ya baba yangu mdogo kuniacha kwa miezi saba mirefu, nilikuwa nimevunjika moyo kabisa. Alinizuia kwenye mitandao yote ya kijamii, akaondoka, na hakukuwa na njia ya kumfikia. Karibu nikate tamaa, lakini ndani kabisa nilijua singeweza kupata mtu yeyote ambaye angenipenda na kunitendea jinsi alivyonitendea.
Siku moja, bosi wangu kazini aligundua jinsi nilivyokuwa na huzuni na akanitambulisha kwa Dkt. Dawn. Dkt. Dawn alisikiliza hadithi yangu na akaahidi kwamba mpenzi wangu angerudi kwangu ndani ya siku tatu. Kwa kweli, sikuamini mwanzoni—lakini kwa mshangao wangu mkubwa, siku ya tatu simu yangu iliita. Ilikuwa yeye! Alikuwa akilia na kuomba msamaha, akisema hataniacha tena.
Tangu siku hiyo, uhusiano wetu umekuwa na nguvu na uzuri zaidi kuliko hapo awali. Amekuwa akipenda na kunijali mimi na mtoto wetu, na sasa tunafunga ndoa katika miezi miwili tu! ❤️
Shukrani zote kwa Dkt. Dawn, ambaye kwa kweli alifanya jambo lisilowezekana liwezekane. Ninampendekeza kwa moyo wote kwa yeyote anayekabiliwa na changamoto katika:
Masuala ya uhusiano au ndoa
Ugonjwa au magonjwa
Matatizo ya utasa au bahati nasibu
Kesi za mahakamani au urejeshaji wa mali
Dkt. Dawn kweli hutatua matatizo kwa ufanisi na hurudisha furaha katika maisha ya watu.
Wasiliana na Dr. Dawn kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com