Jumatatu, 2 Mei 2016

NILIAMBIWA KAUKWELI ILA KANAUMA!

Nina kama miezi minne au mitano tukiwa na kaugomvi ka yeye kupigiwa simu, na pia kuna ka pub nje kidogo ya ninapokaa jamaa yangu mmoja aliniambia muda wa mchana humuona shem hapo na jamiaa wakati mimi nikiwa job.huyo jamaa yangu alikuwa akifikiri labda nani najua hilo labda huyo anayekuja kusalimiana na kusindikizana ni ndugu au mtu ninayemjua kumbe lah. sasa na simu ya wife nikaona anakuwa na wasi wasi nayo sana.

Nami ili kujua vizuri nikaona nisifikirie tu vibaya labda ni mtu wa nyumbani au ninayemfahamu kuna jamba labda la maana wanazungumza.nikamuuliza wife akakataa kabisa kutoka wala kwenda sehemu hiyo, hapo mawazo yakanizidi nikasema hivi jamaa yangu anaweza niambia uwongo kweli?mbona wife naye simu yake simuelewi elewi akienda kuoga yuko na simu na mara nyingi huongea na simu akiwa bafuni nikashangaa haikuwa kawaida.

sasa jmosi nikiwa home siku nikaona nisitoke leo nikae home tu nipumzike nikapiga supu pweza na kuanza kumpiga show ya utulivu na wife (watoto niliwawekea katuni ya Tommy and Jery sebuleni )nikapiga nikapiga yeye akafika kileleni akawa akitoa sauti ile ya kileleni huku mwili umekakamaa kalikunja shuka kwa mikono yake hajitambui muda huo nikazidisha mapigo tena akaanza kuongea mwenyewe " Ingiza yote mume wangu,Nisamehe mume wangu sitakusaliti tena yule John alinisumbua sana na shetani akanipitia" baada ya hapo akaanza kuhema kwa nguvu nami nikamwaga tui la nazi na kuinuka kwenda kuoga nikarudi kitandani nikawa natafakari,nikamuona na wife kama naye kakumbuka maneno yake na yeye kuanza kutafakari, huyo john namfahamu ni mtu wa mtaani baada ya siku mbili nikasikia huyo john kahama alikokuwa amepanga na kwenda g.mboto sio tunakaa ubungo external.


Sasa najiuliza huyu mwanamke kweli anafaa kuendelea naye kuwa ndani au nimfukuze kibabe ingawa kwao wamenizoea sana.maana kwa kweli ni jambo la kufedhehesha sana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni