Jumanne, 3 Mei 2016

HII NDIYO DAWA YA KUZUIA KUCHEPUKA!

By George ,
Waungwana mwenzenu nimeoa miaka kama mitatu tuu iliyopita mi na bi mkubwa twapendana sana tu,ila mimi kwa upande wangu nahisi simtendei haki my wife kwani tangu tuowane nimeshapiga kama mademu kama kumi hivi kwa hesabu ya haraka haraka na ki ukweli si kwamba nakuwa nimewapenda NO!,Ni tamaa tu coz my wife ni portable flan so unakuta labda nimekutana na demu ni mzigo wa haja kidogo basi nataka kuonja ikoje .
Na gia yangu kubwa ninayowapatia hawa dada zangu ni lift huwa ni mwepes sana kupiga brake pindi nikutanapo na niliemtamani.Sasa kiukwel imenikifu na ninahitaji kubadili tabia japo cjwai kula kavukavu hata mmoja lakin nahisi namdhulumu wife sana sasa nilijaribu kuweka dhamira kipindi flan mimi mwenyewe kwamba kuanzia leo ctak mwanake yyote na ninakumbuka nilinote kwanye dairy yangu na nikaweka sain chini ya hicho kiapo changu,lakin ilikuwa ndo nimechokoza coz nilijilisha kiapo saa 2 asubuh then kwenye saa 6 nikaenda Bank moja kwa shughuli  za kikazi ghafla huyo bank teller aliekuwa ananiudumia akaleta mitego Fulani mingi ya kuni seduce baadae a kanipa namba zake za simu ki ukwel alikuwa mrembo Duh!uzalendo ukanishinda nikajikuta kile kiapo nilichojiwekea.
Sasa Nduguzanguni wake kwa waume naomba ushauri wenu ni jins gani nitaweza kuachana na haka katabia cha kumsaliti my wife jaman coz wife ananiamin mno,na ctak mpaka aje agundue coz mmmhhhh,itakuwa ni mbaya sana.
                                                                                            
By  john,
Polesana George,
Hii ndio dawa ya kutochepuka kaka!
1. Honor your spouse by honoring your marriage vow of fidelity.
2. Be aware of infidelity "danger zones."
3. Know yourself and create open lines of communication with your
spouse.
4. Make your marriage a priority.
5. Create a marriage vision.
6. Make time for doing fun
things in the marriage.
7. Having a good sex life and enjoying a sense of romance is an
important part of a good marriage.
8. Make time for meaningful conversation.
Kuna waliojaribu kukupa advice nzuri,wengine..... Now from the horses mouth!! Nami nilikua hivyo hivyo,wewe unasema wa 5 miaka mi 3! Hehe dude you are a saint. Mimi nilifanya hivi: 1. Rekebisha akili yako kutambua kua kufanya mapenzi nje ya ndoa SIO SIFA ni kujishusha thamani. 2.kama wewe mke wangu nampenda kuliko hao wote combined,nikaanza ku spendi  more time wit my baby at 1st nilikua kama nalazimisha baadae imekua ugonjwa.She is INTERESTING BEYOND wht i thot. 3. Epuka marafiki wanaume  malaya,tafuta vishughuli nje ya ajira vya kuku occupy na kufanya life na mke wako interesting.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni