Jumanne, 29 Machi 2016

USISHIKE SIMU YA BABY WAKO

Mimi ni kijana umri miaka 26,naishi  jijini Dar es Salaam nafanya kazi katika hizi benki kubwa hapa nchini nina  mchumba wangu anafanya kazi katika kampuni moja hivi ya mitandao ya simu ,japo hatujaoana lakini tuna kawaida ya kutembeleana mara kwa mara,yeye anaishi Kinondoni Mkwajuni mimi naishi Ubungo Riverside.

Weekend hii ya sikukuu ya Pasaka nilienda kumtembelea akanipa simu yake nimwekee vocha nikiwa naweka vocha nikashangaa sms inaingia "honey uko wapi".
Sikumwambia chochote na wala sikuifingua iyo sms ila niliweza kuisoma coz simu yake ni smartphone aina ya Sumsung  Galaxy  yaani sms ikitumwa uwa inapita kwa juu unaweza kuisoma yote.Nikajikaza kiume niliamuua kufungua whatsapp yake nikaanza kupitia baadhi ya chatting zake moyo ulitaka kupasuka pale nilipokutana na chatting moja amechat na mwanaume nilijua ni mwanaume kwasababu  niliangalia profile picture yake na sms zao zilinitisha sana jamaa kuna sms anasema " Juzi nilifurahi  mno ulivyonipa tamu tamu yako!"
 halafu mchumba wangu ali sms akajibu." Mwenzio sijazoea huko umeniumiza!".
 Kuna sms nyingine jamaa alituma akisema,
 "Mwezi wa sita inabidi nikutie mimba".
Mchumba wangu akajibu tena kwa madoido
 “Unajua  kuingiza tu mimba  tu kulea huwezi,kwa jinsi ulivyo kuwa mbaili wewe!hahah niache usinipandishe nyege mimi sasa!”
Jamaa akajibu “ Mtoto atalea Banker”
“ Haya bana ila kukuacha wewe siwezi!Lol!”
Daah niliishiwa pozi nikakausha na kulamba konyagi kubwa sasa hang ove r imekata natafakari!


Naombeni ushauri wenu

NIMEFUMANIWA MWENYE MKE KAKAA KIMYA!

Wadau,
Kuna shemeji yangu ambaye nimezaa na mdogo wake wa kike ameolewa ni mzuri na amejazia sana   tumekuwa na mahusiano ya siri ya kupeana mgegedo  tangu 2014 pindi baada ya mdogo wake kuamua kuhama Dar na kurejea Tunduma kwao ambapo  aliolewa na bwana mwingine.
Mume wake huwa namuita kaka maana amenizidi umri na pia kwa kuwa ameoa dada wa demu wangu.
Huyu mumewe ni mtu mpole na mkarimu sana ni  fundi magari hivyo huwa tunamwita kutengeneza kidaladala chetu kinapoharibika na huwa natumia mwanya huo kwenda “ kummega” mkewe.
Jumapili iliyopita nilimpigia simu aje kutengeneza gari(mimi naishi Kinyerezi nayeye anaishi Jet. Akaja nikamwambia akague gari ili nimwachie hela kwa ajili ya kununua vifaa.Alifanya hvyo akanipa hesabu ya spares nikamwachia hela na nikamsisitiza kwamba akimaliza kutengeneza afanye test ya gari ikibidi hadi Mbezi.
Lengo langu likiwa akianza kutengeneza gari na ule muda wa kutest niwahi fasta nyumbani kwake kula uroda shemeji yangu.Wakati anafuata spare Ilala mi nikamuaga kwamba naenda Tegeta hivyo tutawasiliana akimaliza matengenezo.
Mwanaume nikaenda zangu Jet ambapo nilimkuta shemeji ameshajifukizia udi kwa ajilia ya masham sham ya sita kwa sita  mle ndani kwake.Tukafanya yetu huku tukiamini jamaa yupo bize na gari hivyo akimaliza lazma atanipigia kunijulisha.Nami kila mara nikawa nampigia kumuulizia alipofikia,bahati mbaya mara ya mwisho kumpigia hakupokea simu nikaamini atakuwa anatest gari maeneo ya Kinyerezi alipokuwa akiitengeneza.
Lahaula kumbe jamaa aliamua kutest gari kuja nyumbani kwake Jet bahati mbaya au nzuri nilishapiga bao zangu mbili tukakaa na shemeji sebuleni huku nimevaa singlend.
Ghafla jamaa kaingia ndani katukuta tumekaa sebuleni na wife wake akasalimia akanipa feedback na kunieleza kaja na gari ipo nje.
Kwakweli nilifedheheka sana kwakuwa nilimuaga jamaa naenda Tegeta nasasa kanikuta kwake.Nilimpa hela yake ya ufundi tena kwa kumzidishia amount ili kuficha aibu na jamaa alipokea lakini hakuwa sawa kama nilivyomzoea.
Sasa ndugu zangu nafsi inanisuta kwa kumuibia jamaa mke wake ukizingatia ndio fundi wetu na huwa anatusaidia kwa mengi kiufundi.
Nikiwasiliana na shemeji yangu anadai jamaa hajamuuliza chochote ila kwa upande wangu sijaridhika kabisa nahisi jamaa alihisi mchezo mbaya hivyo kukaa kimya tu.

Wadau nifanyeje  nikimpigia simu kuhusu gari anapokea na kunipa maelekezo kama kawaida kama vile hakija tokea kitu chochote.

WIFE KADAKA MESEJI SIJUI NIMSINGIZIE NANI!

 Juzi mchana kutwa nilichepuka na kabinti kamoja mwaka wa pili Chuo fulani hivi huko pande za Moro.
 Jana mida ya saa mbili na nusu usiku  akanitumia "text" kwa ajili ya kunipongeza kwa kutoa mgegedo mtamu haijapata kutokea kwake  kwani mgegedo ulikidhi mahitaji yakeya kimwili na kiakili!, lakini pia alinipa taarifa kuwa mapaja yamechubuka  na alishindwa kwenda “prepo” kujisomea kwa ajili ya University Exams yaani  "UE" ya J'3 na hajui itakuwaje!
 Pamoja na kuifuta text hiyo kwenye simu yangu, iliendelea kuja kila baada ya dakika 30 ama baada ya saa  moja na nusu  hivi. Sasa jana saa sita usiku ilijirudia tena na WIFE akafanikiwa kuinasa.

Mke amesepa kwao: Nadhani  mpaka muda huu yupo kati ya Chalinze na Morogoro kama basi linatembea vizuri, maana anarudi kwao  Iringa!Ana hasira kiama sijui nifanyeje wadau!naombeni ushauri!?

VITUKO VYA BINTI WA MWENYE NYUMBA

Wakuu hapa nilipo panga kuna mtoto wa mama mwenye nyumba yupo kidato cha tano, ni binti mrefu, mweupe na mpole, ana shingo ndefu hivi ila amejazia hatari!
Anadai anapenda sana kusoma ila somo la namba “math” zinamsumbua hivyo Mama yake amekua akiniomba niweze kumsaidia hasa katika somo la pure mathematics na nimekuwa nikifanya hivyo, sasa siku hizi anasema akisoma usiku ndo anaelewa zaidi hivyo akirudi anapumzika na kufanya shughuli ndogo ndogo saa tatu  ananiita nimfundishe, juzi kati akasema taa ya chumbani kwangu ndo inafaa kusomea sasa akija anakaa kitandani na nguo fupi sana iko juu ya magoti,huku kajipulizia perfume ya secret  muda wote ana cheka cheka tu.
Alhamisi kaja na khanga imeloa maji halafu anasema hajisikii kusoma ila anataka tupige story na kuangalia nae tamthilia  mpaka nipate usinngizi ndo ataondoka, moja kwa moja nikaona hii ni “Divisheni zero hiyooo”!
Kuna siku nilikuwa namfundisha mara akaweka mkono juu ya suruali yangu halafu akacheka mpaka akanilalia kifuani ila mi nikawa nakomaa na pindi kama sipo vile huku mapigo ya moyo yakinienda mbio na mama mwenye nyumba anamwamini sana binti yake,na mimi tunaheshimiana sana na huyu mama.
Huyu binti imekua ni muda mrefu nashindwa kumuelewa  kwani kila akifua nguo zake kamba ambayo inatizamana na dirisha langu lazima aanike “vyupi” vyake tena karibu na dirisha langu na nguo zingine anaanika upande mwingine! Matatizo na changamoto za kuishi servant corter!
Nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa cha kusangaza ni tabia hii aliaza mwezi uliopita,akifua nguo anaanika vyupi vyake kwenye kamba iliyopo jirani na dirisha langu tena anazisogeza upande wa nyumba ninayoishi usawa wa dirisha,wakati upande we nyuma ya nyumba yao kubwa kuna kamba za kutosha za kuanikia nguo,yeye anakuja kuanikia upande wangu,wakati mwingine utakuta chupi mbili kazitandaza pembezoni kabisa jirani na dirisha. Leo nimetoka kazini mapema kidogo ili niwahi kufua cha kushangaza ile nafika nakuta kamba imejaa vyupi na blazia mpaka ikabidi niahirishezoezi la kufua nguo. Nimevumilia nimeshindwa naomba ushauri wakuu nifanyeje,maana nguo nyingine anaanika kwenye kamba nyingine lakini zake za ndani na hasa bikini lazima aanike jirani na dirisha langu.
Nimechoka wakuu.



SIRI YA KUFANYA MATITI YASILALE

Naomba niwakumbushe kuhusu namna  za kuyafanya matiti yako (ya mwanamke) kutolala... jaribu kusoma hizi step kwa makini na pia kuzifuata kama ikiwezekana..

 Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi (kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako yapumzike, kwamba hakutakuwa na mninginizo wa titi kuning'inia kama utakuwa umelala chali(lalia mgongo) au kiubavu.

 Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali hapo kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe kama dada mpe moyo kuwa avumilie. Afanye hivyo mara 20 kila asubuhi.

Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke mbele

nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyumba kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo)....fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu njinsi unavyokua. 

Jumatatu, 28 Machi 2016

ZIJUE SABABU ZA WANAWAKE KUPENDA VAA NGUO NUSU UCHI

Baada ya kutokuwepo hewani kwa muda wa miezi kazaa wadau wangu wa blog yetu ya Fumanizi.blogspot.com,
 leo nawaletea uzi mtamu wan i kwanini au sababu gani  zinazopeleka  wanawakesiku hizi kupenda kuvaa  kuvaa vinguo nusu uchi na mchana kweuoe!
Siku hizi kumezuka wimbi zito la wadada wengi kupenda kuvaa nguo za nusu uchi mfano skini taiti,mini sketi na nguo zinazoonesha uwazi yaani transparent wengi wao wakiwa ni wake za watu na wasio na ndoa au wasimbe.Hizi chini ni sababu zifuatazo zinahusika. Wakati mwingine wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababuya kutafuta soko kwa wanaume,sio sawa ni matatizo ya kisaikolojia tu.
Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa fidia kutokana na kuamini kwao kwamba wanamapungufu kwa mfano sura zao zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri yaani “usafiri” na makalio “kijungu”   inabidi kuziba pengo au udhaifu huo.
     Wakati mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa niwazuri, wamekuwa wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao. Sababu ni kuwa wengi huwa wanavaa vijinguo hivyo ili kuficha udhaifu wa maumbile yao.Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo.
Inawezekana wameshindwa kulinda ndoa zao, au inawezekana hawajaolewa na sasa wanataka kuonyesha kwamba,” pamoja na kutoolewa kwangu au kuachika, bado mimi ni mzuri tu!”.
Udhaifu wowote ambao unamkera mwanamke iwe ni wa moja kwa moja au kupitia nyuma ya ubongo wake(saikolojiko problem), unaweza kuonyeshwa kwa mwanamke huyo kuyatangaza yalemaeneo ya mwili wake ambayo anaamini ni mazuri kama vile matiti,miguu,makalio,mapaja nan k.
Kuyatangaza huko humpa ahueni kwa kuamini kwamba bado anayo thamani, kwani ataangaliwa sana na wanaume, kusifiwa na penginena hata  kutongozwa.
Hebu angalia wanawake ambao wanavaa nguo za kubana huku wakiwa na makalio makubwa hawa mara nyingi wana sura ambazo wao au wengi huamini kwamba ni mbaya.
Huvaa nguo hizi ili kuonyesha kwamba, pamoja na ubaya wa sura zao, bado wao ni wazuri sana katika maeneo mengine ya mwili ambayo wanaume na hata wanawake wengi huyapenda au kutamani kuwa nayo.
Wengi hawavai tu nguo hizi za kubana kwa sababu ni fasheni, la hasha, wengi hili ni kimbilio la udhaifu wao

-Mathalani msichana huyo yeye mwenyewe akadhani na kuamini kuwa ana sura mbaya, hivyo suluhu yake ya kuficha udhaifu huo ni kuvaa nguo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili wazi ili kutoa ujumbe kuwa "japo nina sura mbaya lakini miguu, tumbo, au matiti yangu mazuri". Lengo ni kuonesha kuwa japo ana sura mbaya lakini ana sehemu nyingine nzuri na zinazovutia.

-Au labla binti mzuri wa sura na natural color, lakini hajaolewa. Naye anaweza kuvaa nusu uchi ili kuleta ujumbe kuwa "japo sijaolewa lakini mimi ni mzuri wa sura na viungo vyangu vingine" ili tu kuwavutia wanaume aidha wasione udhaifu wake wa kutoolewa na/au atongozwe.