Jumanne, 28 Juni 2016

UNGA WA KONGO WANITIA MATATANI

Huku kuigaiga kumenitokea puani, ila ningejua mapema aisee ningechukua unga wa kutosha.

Imepita kama wiki mbili nipo kazini bandari nikakutana na mshikaji kaja kupakia mzigo katokea Kongo. Zikaanza story za hapa na pale mwisho akanipa vumbi la Kongo linaitwa “Kasongo Seven “nikiwa na dhumuni la kulitumia kwa mchepuko.

Kufika home nikasema nijaribu kwa wife. Dah msala ndo umeanzia hapo, yeye amenizoea bao langu moja baada ya dakika tano tu!. Siku hiyo nusu saa ilikatika bado nipo juu ya kifua, kuja kumaliza mbona nilipewa misifa.

Sasa mtiti upo hapa, kila siku naambiwa fanya kama siku ile na imeshakuwa tabu jamani !Yaani ni balaaa alafu unga wa Kasongo umeisha!Mkongo sijamuona tena!.

MUDA GANI WA TIMING YA KULA TUNDA NA WIFE?WATOTO WAPO MACHO!

Said :
Kama mjuavyo nina mke na watoto wawili mmoja miaka mitatu na mwingine ana  miezi 9 sasa, ila changamoto inakuja wakati nataka kumpa haki yake mama yao, watoto wanasumbua balaa yaani inabidi nijiibe fasta fasta yaani hata si-enjoy tendo.
Wadau nifanyeje ili nimpe mama watoto sege-mnege la maana mpaka akojoe (orgasm)?

Novatus:
Ha ha mkuu blessings sana eti unajiiba daah pole sana mkuu naelewa ugumu unaopitia maana watoto wadogo hawana usiku wala mchana, wao anytime wanalia/wanasumbua tu mara kunyonya/kujisaidia kama vipi muwe mnamuachia dada housegirl mnaenda gesti/lodge huko ndo mtifuane na mikelele ya kutosha mkisharidhika ndo mnarudi hom wepesiii.



Bonn :Sebuleni noma maana hapo kila mtu anaingia, jifungieni chumbani (na funguo), fungulia redio sauti kubwa tena wekeni CD/kanda ya reggae au Rose Muhando mnafilimbana mkimaliza mkaoge ki sha mnatoka kama vile hakuna kilichotokea

Jumatatu, 27 Juni 2016

BARUA YA WAZI KWA MICHEPUKO YOTE!

Na nyie mmezidi ,muda mwingine tukiwamwaga  msiwe mnatulaumu kwani ni uzembe wenu ndiyo unatusababisha.
Angalia, unajua kabisa Mimi ni Mume wa Mtu na nilishakueleza kila kitu na hadi kukupa mwongozo mzuri tu wa jinsi Mimi na Wewe tutakavyokuwa tunatenda " dhambi " zetu lakini bado hamsikii.
Nimekuambia:
1. Usinipigie Simu hadi Mimi nikupigie Wewe kwa makusudi kabisa unanipigia usiku Saa mbili na hata Saa 6 au Saa 8 usiku.
2. Tukionana barabarani kama nikiwa na Mke wangu badilisha njia au kama ni ghafla usinisalimu Wewe ukiniona tu na Mke wangu unanisalimu kwa " mashamsham " ya Kimahaba kabisa.
3. Ukimjua au kuonana na Mke wangu kama umeshamjua basi mpe heshima yake lakini Wewe ukionana na Mke wangu ndiyo unaanza " kumbinulia " domo lako utadhani Ndege aina ya kinega anataka kujisaidia.

Enyi Michepuko! kama mmekubaliana na sheria za mchezo basi jitahidi muwe mnazifuata kwani mmeshatukosesha wengine sasa Wake na sasa " kimenuka " huku. Mnataka tuwapendeje? Mnaturoga tunawavumilia na tunawapeni pesa za kutosha hamridhiki je tuwafanyeje?


Leo mmenipandisha kweli hasira na mlivyo na roho mbaya umeshaona " umelikoroga " kwa Mke wangu sasa unataka uhamie kwangu leo leo,Heh wee vepeeeee?. 

Jumamosi, 25 Juni 2016

AMENISINGIZIA KUWA NIMETEMBEA NA MKE WAKE WAKATI MIMI NI MCHUNGAJI


Wakuu nina jambo limenisibu siku ya jana naomba mawazo yenu kama watu wazima.

Jana muumini wangu mmoja alinipigia simu kuwa ana shida ya kuonana na mimi kwa ajili ya maombi binafsi. Unfortunately, Jumatatu huwa ndio siku yangu ya mapumziko, weekends nakua busy sana na huduma za kanisani, hivyo Jumatatu huwa napumzika sigusi kazi yeyote na sitoi huduma yoyote.

Hivyo nikamjibu yule dada kuwa leo sipo ofisini, ila kwa sasa nipo beach napunga upepo nikitafakari kazi za wiki nzima. Akanibembeleza sana aje beach tuongelee huko huko, nikakubali, akaja, ilikua ni saa tisa mchana, hakukua na watu kabisa zaidi ya wazungu fulani na mimi na yule dada.

Akanieleza ugomvi wake na mumewe ndio shida kubwa iliyomleta kwa maombezi. Anyway, wote na mumewe ni waumini wangu wazuri, tena wana vyeo hapo kanisani kwetu hivyo sikuwahi kujua wana ugomvi mkubwa kiasi hicho, basi nikamfanyia maombi hapo hapo tukiwa tumekaa, na baadae kumpa ushauri.

Nikaagiza chakula na vinywaji tukala huku tukiongea mambo mbali mbali, tulipomaliza kula tukaona tukaogelee, kwa nia njema tu, mimi nilikua nina pensi hivyo nikaingia majini moja kwa moja, yule mtumishi hakua na nguo za kuogelea zaidi ya gauni alilovaa, wahudumu wa ile hotel wakasema wanazo swimming costume za kukodisha @5000 nikawaambia haina shida nitalipia, akapewa.

Basi tukawa tunaogolea pamoja kwa nia njema tu, tulipochoka tukarudi kwenye viti na kuendelea kunywa vinywaji vyetu, ni hapo sasa ndipo mumewe akatokea na iron bar mkononi na kutaka kumpiga nayo mkewe kichwani akampata begani, sikujua nani kamwambia mkewe yuko hapo.

Akamvurumishia ngumi kana kwamba anapigana na mwanaume mwenzie, tukashirikiana na watu wa hotel kumdhibiti na kumpeleka kituo cha polisi, amelala huko hadi leo asubuhi, mkewe alitibiwa Jana na kurudi nyumbani, amefungwa bandage kwenye bega.

Leo asubuhi wote tulienda pale polisi kwa maongezi, maongezi hayo yameshindikana, mke kadai hamtaki tena mume kwa yote yaliyo tokea maana mbele ya mkuu wa dawati la jinsia na watoto yule jamaa amedai kuwa mimi natembea na mkewe, kwamba ametufuatilia siku nyingi, madai ambayo si ya kweli, na ninashangaa yametoka wapi, ni wazi kuna watu kanisani wanamtumia kutaka kuniangusha baada ya kuona ministry yangu imefika mbali, hii ni moja ya mbinu chafu ya watu hao.

Sasa hawataweza, huyu ndugu kesho atafikishwa mahakamani kwa shambulio la kudhuru mwili, ushahidi upo wazi, amemuumiza kwa kiwango kikubwa sana mkewe, amevimba uso na bega pia.

Wakuu, naomba kufahamu katika kulishughulikia hili suala. Je kuna sehemu nimekosea, nilipaswa nifanyeje instead?

BARUA YA WAZI WA WANAWAKE WOTE AMBAO BADO KUOLEWA

Mhhhm kama bado mna still struggling to find a husband at an old age...because you're looking for a perfect man, Mhhm I think something is certainly wrong with you...
Yani vigumu sana kupata yule unaye tegemea hana kasoro, na yule unaona ni bora kwako anaweza kuwa si kama unavyo tegemea...now let put this way;
 When a product is not doing well, the sales team doesn't blame the customers, they either blame the product or marketing strategy .
So ladies, have you being marketing yourself,...nakusudia ile unajitangazia wewe bado hujaolewa, na ungependa kuolewa na uko tayari kutoa ofa ya kitu flani, si mnajua tena kila ofa ikiwa nzuri ndo mnapata haraka good customers……eeeeh sijui kama mnanielewa?
Customer service is so important....msisahau!.

Ninakusudia wasio olewa ili wapate kuolewa...Lazima waseme hawajaolewa bado, na watoe toe  tu ofa kwa mfano kama binti  ana nyumbaau ana kibaruacha maana  itasaidia kidogo matatizo kwa vijana ambao wanatamani kuoa lakini unakuta mambo yao bado hayajakaa vizuri kiuwezo!

ILE NAINGIA TU OFISINI JAMAA ANAPIGA KOFI WOWO LA WIFE HUKU WIFE AKIFURAHIA SANA!

Jumatatu nilikwenda kazini kwa mke wangu kuchukua ufunguo wa nyumbani kuna kitu nilisahau nyumbani hivyo niliitaji kukirudia, yeye ndo huwa anawahi kurudi nyumbani so huwa anakaa na ufunguo, wangu nilipoteza kwenye pombe.Sikua nimempigia simu nilijua atakuwepo tu kazini.
Nilipofika pale nilielekezwa na watu wa mapokezi chumba cha ofisi anamofanyia kazi. Unexpectedly, nilipofungua tu mlango wa chumba hicho nikakuta jamaa mmoja staff mwenzie na wife akimpiga vibao wife kwenye wowowo nalopumzikia mimi huku wife akifurahia kitendo kile na staff wote mule wakifurahia. Yule bwana aliendelea na zoezi hilo huku wife amekinga wowowo na staff wakiendelea kufurahia tukio hilo.
Wakati huo mimi nimeganda mlangoni kwa mshangao mkubwa nikijiuliza hili lijamaa litakua halijapata kweli? Hadi kufikia hatua hiyo? Wife alipogeuka mlangoni akakutana uso kwa uso na mimi almanusura azirai, alitweta, jasho jingi lilimtoka, wale staff mle ndani hawanifahamu hivyo hawakujua kinachoendelea, nikafunga mlango taratibu na kuondoka kwenda kwenye lift, wife akawa ananikimbilia kwa nyuma kimya nadhani kwa kuogopa staff wengine wasijue chochote.
Nilipoingia kwenye Gari akaanza kuomba anielezee sikumpa nafasi hiyo nikawasha Gari na kuondoka nikarudi usiku wa manane home, nikamwambia park vitu vyako asubuhi pakikucha uondoke sikutaki tena alilia sana alikesha ananibembeleza nisimwache kwamba ulikua ni utani tu wa ofisini hawana uhusiano wowote na yule jamaa, kwamba tumpigie hata simu na wengine pia pale ofisini.
Nikamjibu kwamba sihitaji kuelezewa nimeona kwa macho yangu, na kwamba kuwepo na mahusiano au kusiwepo kwangu sio tija sana, linalonisikitisha ni mke wa mtu kukosa adabu kiasi kile na kujirahisisha kwa wanaume, kushindwa kujiheshimu na kuruhusu mwanaume mwingine akupige kofi kwenye makalio ndio dhambi kubwa katika sakata hili.
Kwa tabia hii wanaume wote office nzima watakutongoza wakiamini ww ni maharage ya mbeya, hivyo sikutaki tens
Nikamjibu hivyo. Amengangania kwangu tangu siku hiyo hataki kuondoka akiomboleza na kuomba msamaha, ingawa sisemi nae chochote tangu siku hiyo bado namvutia kasi.

Huyu mwanamke hatujafunga ndoa, ila tunaishi tu, nilimleta hili kum replace mke wangu wa kwanza tulieachana kwa talaka mahakamani kutokana na mimi kushindikana kwa uzinzi nina watoto na mtalaka wangu ambao tunasomesha pamoja
ni muda tangu tulipoachana ila haachi kusisitiza turudiane tulee watoto pamoja, anadai ndugu yake wakili ndie aliemchochea kuomba talaka miimi nilishindwa kurudiana nae kutokana na guilty conscience kwa matendo niliyomtendea

Sasa waheshimiwa huyu nilie nae sasa nilimwambia nakupa probation niweze kuiona tabia yako, maana katika mazingira yasiyoeleweka akawa akija kwangu anaacha nguo hadi kufikia begi mbili ndivyo tulivyoanza kuishi hivyo.
Kwa hili nililoliona si ameshindwa probation huyu? Maana nimeamua kuwa mtu mzuri na kuacha mabaya yote yaliyosababisha nishindwane na familia yangu.Hebu nisaidieni suluhisho

Way forward please!?

Fredy:

 1. Kushikwa makalio ndo alama ya wao kuwa na mahusiano?
2. Kushikwa makalio ndo alama ya kwamba atatongozwa na kila mu ofisini kwake? Kwani asiposhikwa hawezi tongozwa?
3. Kwanini hujampa nafasi ya kumsikiliza ili uwe fair kwenye maamuzi?
4. Unadhani kumtimua ndo suluhisho la hali unayopitia?
5. Haya, let us say umemtimua, una uhakika gani utakayemleta hatayafanya hayo au zaidi ya hayo?
6. Haya, let say umebadili wanawake mara kadhaa, na wee hujabadilishwa, do you think wenye matatizo ni hao wanawake au ni wewe? You know sometimes binadamu huwa tunakimbia vivuli vyetu... tunasahau kuwa jua likiwaka tu, kivuli hichooooooo....

Waza kwa kina hayo maswali... Utapata majibu!

SALUM:
Inategemea ulikutana nae wapi Mkuu; kwa utamaduni wa kiafrika ni aibu na fedheha kubwa kwa mwanamke potelea mbali mke wa MTU kushikwa makalio tena mbele ya hadhara ya watu! huo ni upungufu mkubwa wa Maadil! Acha uzinzi rudia mke wa zaman Mkuu

WANAUME ACHENI UBAHIRI!MJIONGEZE!

Aisee wanaume na nyie mmezidi hamtaki hata kujiongeza  mnapenda mitelemko tuu!
Sisi wanawake wote tunapenda sana wanaume wanaojiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono AAAH Mwanamke matunzo baba unaniona napendeza nanukia vizuri bado tu hutaki kugaramia ata kidogo!Nyoooo!
Mwanaume wa kweli  anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.

Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:

1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mpira au mieleka.
2. Vocha natoa mimi
3. Chumba change,kitanda changu, mashuka, mito yangu,mwili wangu n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa.
Keruuuu!
SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0


Ijumaa, 24 Juni 2016

WANAUME ZETU MNATUTIA AIBU,MTULIE

Naomba niongee nanyi waume zetu jamani, hebu tulieni na wake zenu maana cha zaidi mnachokitafuta ni aibu na magonjwa.
Nikiwa saloon (kama mnavyojua mambo ya saloon full umbeya hakuna siri) wadada wakawa wakiongea, mmoja anatembea na mume wa mtu akasema "yaani yule boya kweli mi nataka hela zake tu,kitandani hana kitu kabisa,yaani kimoja tu tena cha dakika moja tu yuko hoi,ananichafuaga lol na ule mtumbo wake anajiburuza tu kama nyoka. Namuonea huruma mkewe maana alivyo mzuri, bora mimi nina jamaa yangu wa kunikuna,sasa mkewe sijui anafanyaje masikini"!
Wakacheka wote kwa mkupuo na kuendelea kuwaongelea wanaume in general na wakitoa shuhuda zao za vituko wanavyokutana navyo.Sio siri nilijikuta naumia nafsi kama ndio mimi vile,nikawaza hiyo aibu.
Hivi mnajijua uwezo hamna,ni nini sasa mnachokitafuta?
Au ni kwamba hamyajui hayo madhaifu yenu,au mnataka nanyi muonekane vidume? au...... au...... najikuta tu nabaki na au au.
Na wanawake wenzangu tujitahidi kwenye masuala ya misosi na kuwashauri mazoezi,tusiruhusu hivyo vitambi vyao, mume wangu nimemtengenezea kabisa ratiba ya kula na bahati nzuri hapendi kitambi so na mazoezi anafanya japo mvivu sometimes, so huwa namsisitiza sana kuhusu mazoezi na ikiwezekana tunafanya wote.

Nanyi wanaume hebu mfunge zipu,majaribu yapo ila mshindeni shetani myashinde.

WANAWAKE:VAENI NGUO ZA KUSITIRI MIILI YENU

Sijui ni masifa au nini ila kwa kweli sio vyema kabisa unamkuta mdada kavaa nguo ndefu tu ila tatizo ni transparent zinaonyesha hadi chupi na sehemu nyingine za maungo yao kweli sio vizuri wanaume tunapata wakati mgumu sana kwani nguo zenu zinatuhamasisha kufanya ngono na vitendo vingine vya kichochezi.
Ni hali ngumu sana unapokatiza mjini/mtaani/shule/vyuoni/daladala unakutana na haya maafa kwa kweli wanawake mnatumaliza sisi wanaume.Nidhamu ya mavazi ichukue mkondo mavazi yenye kuonyesha sehemu za ndani yaachwe pia nguo zinazobana zinaonyesha hadi mistari ya chupi ziachwe nasema tena maana hamna namna hata hizi fupi zinazoonyesha mapaja na viuno mziache mwanamke vaa vazi kubwa la kufunika na kusitiri mwili wako wote.
Mi langu rohoni leo nalitua,ukweli nakereka na kujiskia aibu kwa hili.Yani unakuta mdada au hata mwanamke mtu mzima anafanya makusudi kuingia kwenye shughuli za watu za heshima zinazohitaji mavazi ya kujisitir angalau basi nguo iishie magotini na kuficha sehemu nyeti na kama matiti na mapaja...
Ye utakuta kaingia na kigauni utadhani cha mtoto wa shule ya msingi miziwa yote ipo nje nje..Mipaja yake nusu na robo ipo nje,sasa hapo hata akiangusha kitu sidhan kama ataweza okota!Alafu kihelehele uyoooo anaomba asevu high tabo!
Sasa hebu fikiria watu wanafanya shughuli ya kumuaga binti yao (send off) au harusi ukumbini..kule mbele kuna wazaz na wazee wetu wengine wa heshima,upande mwingne wamekaa wakwe..
Muda wa kucheza mziki unaingia pale mbele kwa mbwembwe zote shost unajimwaga ukiwa nusu uchi na kutuaibisha wanawake wenzio hadi tunaona aibu,mi nlishuhudia zaidi ya sherehe moja..
Tena mdada anawapa mgongo wazazi wa yule shogake anayeagwa uchezaji wenyewe wa kujibinua ka' mbuzi anetolewa kafara,huku nyuma mipaja yote nje bado sentimeta moja matako yaonekane,mama mzaz akainamisha kichwa pale kwa aibu ya anachoona.
Mi nnachoomba angalia dressing code yako kwa eneo husika,sio unavaa mradi kiende.Utavaaje kigauni cha klabu kwenye wedding reception zetu za kitanzania? halafu ukiangalia nyomi lote walovivaa unakuta ni ww au kuna mwingne pemben ndo mlovaa kiaibu tu..

Hata kama ni kwenda na fashion zingatien mahali mnakoenda hata kama hakuna wazaz au wazee wenu bado waliopo watawachukulia kivingine tu!


BOSS AFUMANIWA OFISINI MCHANA KWEUPE!

Wandugu habari za kazi,

Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.

Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii ni bone la haibu.

Kuna mdada nafanya nae kazi hapa ni mzuri mwenye mvuto  ameolewa na ana watoto wawili nan i mwenye kuipenda sana familia yake kwani kila wakati ni kumuongelea tu ofisini kuhusu mumewake tu.

Cha kushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini ghafla bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa kwani ilikua ni luch time. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi amemuinamisha yule dada wanapeana mautamu mchana kweupe ofisini.

Jamaa kuona vile alishikwa na butwaa kama dakika kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.

Kwa kweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea.. Jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake.
 Huku nyuma ameacha mtafaruku wa hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena,Boss nae amechanganyikiwa.
 Nitawajuza kitakachojiri baada ya hapa.


WADADA WAZURI PUNGUZENI NYODO

Nakumbuka kuna siku nilikua nimekaa maeneo ya Mwenge naosha miguu kuna mdada duu nae akaja mzuri hatari t#ko kubwa full nyodo tuuu hatari hakusalimia wala nini akauliza tu kaka utatumia muda gani kummalizia huyu mdada?Akajibiwa pale akatulia akawa anachat na Galaxy baby mi nikamsalimia (kwasababu nilitaka kujua handbag yake amenunua wapi imekaa kiulaya ulaya na vitu alivyotupia kwa jicho la haraka unaona vimeshuka na ndege).
Bidada alininyali mpaka nikatamani Dunia ipasuke,tukaendelea kukaa alikua amevaa kimini cha rangi ya cream  na top nyekundu.Muda si mrefu si bleeding iyoooo!ikampata ana hahahaaaa utadhani nguruwe anataka kupandwa mi nikawa namwangalia tuu!
Tone jekundu hilo mmmh! nikaingiwa na imani kwa kweli maana hiyo sehemu wanaume kibao nao wapo ambao ni wasusi nikaona tutasemwa wanawake wote na sio yeye nikaingia kwenye mkoba nikampa mtandio na kumrushia mineno ya shombo akuamini mara dada naomba namba zako ili nikurudishie mtandio wako nikamwambia nim,ekupa bure !Yaani nikikutana nae barabarani full kujichekesha kwangu ,nimemdharau sana.