Jumatatu, 1 Agosti 2016

IVI NAPIGIWA WIFE NINI?

  1. Wadau mambo?ing well.

    Wandugu, kwa hizi miezi tatu mimi na wife tumekuwa na ugomvi sana, but kwa wiki tatu sasa tumemaliza hizo shida zote, we are happy as a family, and we are not fighting anymore.

    Wiki mbili sasa zimepita sikua na pesa hata a single coin, nika check kwa hand bag ya wife yangu niweze chomoa kile nitapata, sometimes kama sina pesa mimi huangalia bag ya wife kama kuna pesa let say kama kuna elfu kumi ziko kumi, mimi huchomoa elfu kumi 3 ya kuanzia siku, then nikikuja jioni nakuta amefura, narudisha elfu kumi sita, two times ya ile nilichukua.

    So siku hiyo nilikua nikitaka kuchukua pesa kwa bag yake kama nitapata ziko, surprisingly, nikaona suruali ile wababa tunavaaga ndani wanaita boxer, ziko tano ziko packed pamoja mpya kabisa, anyway i said to myself may be amenunua zawadi yangu pengine Jana alisaau kunipatia, so atanipatia jioni, unfortunately vile naongea leo ni two weeks tangu siku hiyo sijapewa hizo boxer, na haziko tena kwa bag hiyo or anywere in our room.
    So i decided to ask her about the boxers, my question caught her by surprise, and she had no immediate answer, akaniuliza uliona boxer kwa bag yangu? Nikaondoka bila kujibu lile swali.

    Baadae wife akanipigia simu, ooh may be rafiki yangu aliweka hizo boxers kwa bag yangu bila kuniambia na kesho yake akachukua, she was referring to a friend huko kwa vicoba,Jioni rafiki yake akanipigia simu, i think on my wife's instructions, akisema ya kwamba '' shemeji ni mimi niliweka hizo boxers kwa bag ya bibi yako nilikuwa napelekea husband yangu gift i didn't buy that lie, vile nafikiri ni kwamba wamepanga hiyo uongo.

    Naomba ushauri wenu tafadhari;

    (a) Could it be that my wife was taking those boxers to her lover as gift?

    (b) Is it possible that my wife's friend could put the boxers in the bag and then remove them the next day without my wife's knowledge?

    (c) Do you think my wife engaged herself in an illicit affair during the three months of fighting?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni