WANAUME UKWELI NDO HUU
Wanaume huwa tunatamani sana kupata mke bora a.k.a wife material lakini cha ajabu
tukiwapata
tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati
tuliwatafuta
wenyewe...
Ukiona Mwanamke ana wivu na wewe,anakufuatilia
mambo yako,uko
wapi,umekula,umekula nini,umekula saa ngapi,kwanini hujalala,kwanini
umepiga
picha na mdada asiyemjua,kwanini
hujamtafuta nusu saa,kwanini uko Online
Whatsapp
lakini haumtext, TUNAANZA KULALAMIKA,"Oh huyu
Mwanamke ana wivu
sana mi siwezi"
Mwanamke mwenye Wivu SHES IN LOVE...SHES LOYAL..SHES
FAITHFUL
Hawa makurumbembe tunaowapenda kisa
hawatusumbui wote WEZI NA
WAONGO TU,they are
after something,Kwao Mapenzi ni rahisi kama kuagiza
Saint Anna
Wanawake FAITHFUL hapa Tanzania wako 3 kati ya mia tano,kama umempata kukutana nae jua una bahati
usimwache,mshikilie mpende sana mtunze,usimtibue...Akiondoka
huyo utapata Bata
la Uswahilini,hata uuchune SIKU 2
na yeye hakutafuti,utabakia na Majuto while
Shes
Gone na amempata aliyeona thamani yake...
WANAUME HATA HATUELEWEKI
TUNATAKA NINI SOMETIMES,Hata mnune mpige mawe UKWELI NDIO
HUU!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni