Leo kiukweli
nimechanganyikiwa.
Mwakajana nilimpenda
binti mmoja, nikamchumbia nikapeleka posa na mahali nikatoa nusu.
Sasa leo nimenunua laini mpya ya Halotel nikaanza kumjaribu
mchumba wangu kumtongoza kwa SMS,tongoza nay eye tu kuanzia asubuhi
nikamdanganya nilionanan nae kwenye seminer za afya(kumbuka mchumba wangu ni
Nurse). Huwezi amini, amekubali kuja geto kesho kwa vile nimemuahidi endapo
atakuja nimgegede nitampa elfu 50, kakubali.Ameanza na kunitumia picha za utupu
ila akikata kichwa kwa ku fanya cropping kwenye simu.
Basi nikampigia kwa namba yangu halisi nikamuomba kesho
tukutane amekataa kwa kusingiiza kehso watakua busy thieta na operation za
wagonhwa. So, nimesikitika sana na ndugu zangu.
Hebu tubadilishaneni uzoefu tafadhali!
Harrah's Philadelphia Casino & Racetrack - MapyRO
JibuFutaCompare Harrah's Philadelphia Casino & Racetrack 논산 출장샵 locations and see 1591 reviews: 계룡 출장안마 "I can't believe this is 여주 출장안마 one 수원 출장안마 of the best casinos in the world 여수 출장샵 I'll