WANAUME PLEASE MKOME!
Moyo waliopewa WANAWAKE akipewa Mwanaume hata kwa
Siku moja tu LAZIMA AFARIKI!
Ule uwezo wa kuvumilia Maumivu ya Kuzaa ndio huwa
unawafanya wavumilie mambo wanayotendewa na Wanaume kiasi ambacho hadi wewe
Mwanaume unajiuliza,HADI HILI
AMENISAMEHE,INAWEZEKANAJE!
Kama kuna
jambo Wanaume huwa wanakosea basi ni kudhani kwamba Wanawake ni
Wajinga...Hawajawahi kuwa Wajinga ila
Wameumbwa na Moyo wa Uvumilivu
uliopitiliza..Na Mungu aliwatengeneza hivyo makusudi...Ni sawa na Mwanamke
anavyoweza kumvumilia Mwanaume ambaye kwa Miaka 10
anamgusagusa tu na kibamia chako bila
kumfikisha kileleni lakini Mwanamke yupo tu..Uvumilivu ulioje!Mwanamke anayeweza
kukaa na Mwanaume mlevi anayempiga ngumi kila akirudi ila yeye yupo tu..Sio
kwamba
ni Mjinga,LA HASHA!Ni katika ule Uvumilivu tu..
Kasheshe ni
pale Mwanamke huyu ANAPOCHOKA...Anaweza akavumilia miaka
10...Unampiga...Anakufumania..Humfikishi
Kileleni..Ila Siku Akichoka
akasema KWAHERI,Ule Moyo wa Uvumilivu huwa UNAGEUKA na kuwa JIWE GUMU na hata
uimbe mashairi ya "Bado ananijia ndotoni ila nikiamka simuoni bado ananijia
nikilala Haki ya Mungu sio masihara"
HATARUDI na utabakia kiwete wa
mahaba yake daima...Kabla hajafikia Stage ya KUKUCHOKA,chondechonde kumbuka
nayeye ana Moyo,MPE ANACHOSTAHILI!
Usichanganye Uvumilivu wake ukadhani ni
Ujinga,ITA KU COST JOMBA!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni