Jumatatu, 12 Februari 2018

JINSI WANAWAKE WANAVYOPUNGUZA NGUVU ZA KIUME KWA WAUME ZAO

1: KAULI Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litampelekea kupotea nguvu za kiume taratibu. Msaada unaohitajika kwa mwanamke anayekutana na mwanaume dhaifu kwenye tendo si kumwambia hawezi, bali ni kumtia moyo na kumsaidia kuweza. Wanawake wamewasababishia waume zao upungufu wa nguvu za kiume kwa kuwaambia maneno kama haya: “Yaani siku hizi sijui umekuwaje, yaani huwezi kazi kabisa!” 2 : UJUZI Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika’, si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake. Pamoja na wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione kama mgeni wa mchezo huo. Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa ‘kazi’, lakini pale wanapogeuzwa ‘chekechea’ hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Inashauriwa kwamba, mwanamke anapokuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya mapenzi hasa wakati wa tendo, asioneshe kiwango kikubwa kwa haraka bali amchukulie mwenzake kama mwanafunzi, asiwe na maneno kama: “Leo nakuja kukupa vitu adimu kuliko vya juzi, hakuna kulala kasi mtindo mmoja.” Kauli hizi huwaogopesha wanaume na kuwafanya wapungukiwe na nguvu. 3:USAFI Mwanamke anapokuwa si msafi, huweza kumsababishia mwanaume matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Sote tunafahamu umuhimu wa usafi wa mwili na kero za uchafu wakati wa tendo, hivyo ni wazi kuwa mwanamke akiwa mchafu atamfanya mwanaume apoteze msisimko na uwezo wa tendo la ndoa. Unadhifu wa mavazi na mwili ni muhimu sana katika mapenzi. 4:GUBU Jambo lingine linaloweza kumsababishia mwanaume upungufu wa nguvu za kiume ni gubu au karaha za maneno ya uchokozi yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Uchokonozi wa mambo, ugomvi, usaliti na hali ya kutokuwa na staha ni mambo yanayosababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanamke anapokuwa mwingi wa maneno ya kashfa, dharau na matusi huweza kumfanya mume amchukie na kutopenda kushiriki naye tendo. Uchunguzi unaonesha kwamba wanawake walioolewa wenye tabia hii, huwafanya waume zao wawe na msisimko wa kimapenzi kwa wanawake wa nje kuliko wake zao hao. 5:USALITI Tabia ya usaliti kwa mwanamke ni chanzo kingine cha mwanaume kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanaume anapoona, kuhisi au kubaini kuwa anasalitiwa, huumia sana moyoni, maumivu ambayo hatimaye humfanya muhusika kuwa na mawazo mengi ambayo humuondolea hamu ya tendo.

FUMANIZI JINSI LILIVYOFANYIKA

habari zenu Leo nimeweza kufanya fumanizi nililopanga ila kabla sijafanya hayo nimepitia hatua zifuatazo A. Nimearika watu wa heshima 1.mchungaji 2.Kaka yake mke wangu ambaye yupo mtaa wa karibu 3.Shemeji yangu yaan mke wa huyo anayetembea na mke wangu 4. Kaka yake huyo mwanaume anayetembea na mke wangu 5. Mwenye hoteli amehusishwa dakika za mwisho sana ilikuwa saa tatu asubuhi leo hii nikazuga nasafiri, mke wangu amenisindikiza hadi napopata usafiri na kuhakikisha nimepanda gari, sikutaka kutumia gari la Nyumbani maana safari ni ya mkoa mbali mno, na nilipofika eneo kituo kimoja mbele nikashuka nikaelekea sehem ambako wamepanga kukutana , kwa mazungumzo yao ilikuwa wakutane saa Saba mchana , hivyo kuanzia saa nne nikaanza kuwasiliana na hao waarikwa bila kujua kwanini nimewaita mahali husika , na nimemwambia ndugu yangu mmoja awapitie kila mmoja kwa usafiri na kuwaleta sehem husika maana ningeanza kuwapigia simu ishu inge leak mapema, Baada ya watu wote kufika eneno huskia nikafanya suala moja kuanza kuwaonesha screen shot nilizovhukua za chatting za mke wangu na huyo rafiki yang, wwakashtuka sana sana , nikawapa mpango mzima ulivyo , nikaona kama kaka yake mke wangu anataka kuzuga kwenda chooni kumbe anataka awape alert nikasema nakuheshimu naomba simu zote zibaki hapa jamani msiharibu huu mpango maana ntakuwa mpuuzi kuja hapa na kutoka hivi hviv Baadae nikampigia simu mwenye hoteli akaja mpaka sehem tulipo nikamueleza tukio zima na nadhamiria nini, kwanza alisita kutoa ushirikiano lakini baadae aklakubali kwa masharti 1.Hataki ugomvi pale hotelini kwake 2.Hataki camera yeyote pale, 3. hataki silaha yeyote pale 4. Tukiwafumania twende kusovia matatizo nje ya hoteli au nje ya eneo la hoteli yake, SAA SABA NA NUSU IKAFIKA KWAKUWA NIMESHADHAMIRIA KUFANYA JAMBO SIKUWA NA HARAKA KABISA JUU YA JAMBO ILI, Nikaandamana na hawa walengwa niliowaarika wakabaki nje ya hoteli, mi nikaingia ndani nikamuambia reception anipe maelekezo chumba namba **** kilipo akagoma akasema si utaratibu wa kazi yake, ikawa shida mpaka hapo alipopopkea simu toka kwa meneja wake maana sisi tulivoenda kufumania yeye aliondoka kuendelea nashughuli zake na kuhaid kutupatia ushirikiano wa kutosha sana juu ya suala ili hapa, Nikaepewa maelezo juu ya chumba hicho nikaenda kwa kunyatia kwanza nikaanza kusikiliza maongezi yao kwa taratibu , huku receptionist akiwa amenifuata kuangalia nitafanya nini, niasikiliza maongezi yao wanavyoongea taratibu, baabae sauti ikapanda kama wanapandishiana kuna jambo hawakuelewana alafu kuna sentensi kwamba "MAMA ****GEUKA NAUKU NYUMA BWANA KIDOGO, mke wangu akajibu "SIJALETA MAFUTA NYUMA HAPANA LEO NTACHUBUKA SITAKI FANYA TUENDELEE NA MBELE" nimepigwa na butwaa, yule receptionist akashika kichwa kabisa akashangaa, NIKAINGIWA NA MACHUNGU baada ya machungu kupanda huku nasweti sana na mikono yote inasweti ikabidi aisee nigonge mlango taratibu , wakasema nani nikakausha dada yule akasema ni mimi hapa , naomba samahni kidogo. wakafungua alikuja kufungua mke wangu , nikazama ndani nikakuta wako uchi wa mnyama walikuwa wameshafanya round kadhaa, nikainama tu, mi nimwanaume ila nimetoa machozi kwa mara ya kwanza, hapo uko nje wanadhani tutauana nao wakaingia ndani, lakin sikusema chochote nikamwambia mke wangu shika nguo zako vaa twende Nyumbani, akalia akaogopa yule jamaa akawa na wasiwasi akidhani nitafanya jambo baya nikakaa kimya, Tumefika Nyumbani na wazee na wageni nikawaambia wanangu wawili wanede kutembea kwam marafiki , alafu nikamwambia mke wangu ajieleze kwa kila kitu kabla sijaweka ushahidi mezani, akaanza kueleza kwamba wako kwenye mahusiano na huyo jamaa kwa miez minne sasa na wamekuwa wakikutana hapo na wamekuwa wanasubiri nikipata safari ndo wanakutana, MAAMUZI YANGU, 1.Nimeagiza ndugu zake waje, ,NATAKA KUFANYA JAMBO AMBALO NI SO STRANGE KABISA YULE SHETANI ALOJIFANYA RAFIKI YANGU NIMEMKAUSHIA KWANZA JAPO KAWA MDOGO KAMA PILITONI, nipo nakunywa pombe kwa mara ya kwanza maishani mwangu, si vema kufukuziana kufuatiliana kwa simu lakin kama humpendi mtu si unamwambia kuliko kumcheat??? sijui nimfanye nini huyu,

LADIES SIX MEN YOU SHOULD NOT DATE.

Hey ladies......whom to avoid when consdering a serious date line.....and you need to consider this as your road map for where you dont want to go in your love life 6 type of men you shouldn't date period.. 1)Rebound Guys 2)Disappearing guys 3)Slick guys who tend to hide their insecurities 4)Rude....uggggh! 5)Grabby guys 6)and laslty...The last year's guy

DEAR LADIES,MSIACHE KUPITIA HAPA.

1. Ngono haimfanyi mwanaume asikuache, hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu. 2. Mwanaume anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na wewe milele. Wanaume halisi hawawezi wakatoka na wanawake feki wanaopenda pesa. Ukibahatika sana atakufanya daraja la pili yaani mchepuko! 3. Uzuri wa mwanamke unaweza ukampelekea akaolewa ila tabia yake ndio itakayoamua ni kwa muda gani atadumu katika ndoa. Uzuri huvutia wanaume, ila tabia hufanya wanaume wadumu na wewe. 4. Pesa kiukweli ina faida sana na ni muhimu kwa mtu yoyote kuwa nayo ila pesa peke yake haiwezi kuleta ukweli wa maana halisi ya furaha na maisha. 6. Kuwa mzuri bila tabia njema hakuwezi kukakupa mume bora, sana sana utapata Boyfriends na wanaume za watu. 6. Tendo la ndoa linaleta faraja ila haliwezi kuleta upendo. Sex ni zao la mapenzi, mapenzi sio zao la sex. 7. Sex inaweza kufanya mwanaume alale na wewe usiku kucha, na asubuhi akaondoka zake ila upendo hufanya mwanaume aishi na wewe daima. 8. Kuna mambo mengine pesa haiwezi nunua kama tabia na heshima, kama ulikubali kuolewa nae kisa pesa zake. Usidhani kupitia pesa zake ataweza badilika. 9. Uvaaji wako siku zote ndio utakaoamua ni nini wanaume wazungumze na wewe!.

MABINTI/WANAWAKE HUU UZUZU.

Utakuta binti/mwanamke umezalishwa na mume wa mtu,halafu unatamba mitaani eti unapendwa sana na Baba Naniliuu, angekupenda si angemwacha mkewe akakuoa wewe?akishajua uzuzu wako anakugeuza kiwanda cha kuzalishia watoto anakuongeza mimba ya pili mpaka ya kumi, na hakuoi katu,kibaya zaidi anakupa masharti usiolewe au usiwe na mwanaume mwingine yeyote la sivyo atasitisha huduma kwa watoto wako,miaka inaenda anakuja kuwachukua wanawe,na anakwambia atawalea wanawe ila hawezi kuwa na mke zaidi ya mmoja ukipata mume olewa ,tayari umezalishwa watoto wawili watatu subiri uolewe na mzee mane wa miaka 70 ukalee wajukuuze. Ukikosa mume ni bora uzae na mseja sio mume wa mtu.

KWA WENYE ROHO NGUMU TU!

Hallow wanajf, Nimepata PM nyingi sana za wadau wa jf na zote zilitokana na comment yangu kweny uzi wa mwanajf mmoja aliyekuwa anamfatilia mpenz wake kwa njia ya whatsapp Web, wengi walitaka kufahamu zaidi njia nyingine. Nami nimeona kwa kuwa siwezi jibu kila anayekuja PM nikaona niweke hapa jamvini. Kwanza kabsa itambulike kuwa kuchunguza simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake ni kosa kisheria na kuingilia uhuru wa mtu kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuwa na privacy zake. Njia hizi za kutrack simu hutumika zaidi kufuatilia mtoto mdogo ambaye yupo chini usimamizi wako zaidi ya hapo Do it for your own risk. Mahitaji ya jumla Lazima unayetaka kumtrack awe na simu janja hapa naamanisha Android, Hakikisha kwenye simu ya mlengwa umeenable unknown sources ili kuinstall apps nje ya Google play. Hakikisha simu ya mlengwa ina connection ya Internet wakati unafanya installation. Hakikisha unaficha App. (1)Fungua browser yoyote kisha nenda Google search andika neno The truth spy apk kisha click search itafunguka. (2)Zitatokea nyingi sana angalia iliyoandikwa the truth spy installation chini yake kuna neno ANDROID limeanza click hiyo itafunguka. (3)Ikifunguka utaona neno Download version 7.5) sio lazima ikuletee namba hiyo hapo inategemea na version uliyoikuta click neno hilo download. (4)Ukisha install hiyo app utafungua hiyo app, ukifungua utaona neno Next click hapo utaona Register new account. (5 Baada ya hapo utaona Agree kubali hapo kisha itafunguka utaona sehemù email, hapo weka email yako wew na si yake kisha weka password kisha confirm password zako. Ukimaliza hapo next itafunguka Activate hiyo account, itakuja sehemu imeandikwa HIDE APP ICON fanya hivyo kuificha ili isionekane. 6)Ukimaliza hapo itafanya configuration baada ya hapo umemaliza na mrudishië simu yake kama ukiwa serious hata dakika tatu haiziishi.. 7) Kaa baada ya muda fulani ili aweze kuwasiliana na kuchati ujinga wake na mambo mengine, kisha ww kwa muda na kwa maamuzi yako katika simu yako andika Thetruthspy.com ikifunguka angalia juu upande wa kulia utaona neno sign in click hapo ingiza email yako na passrd ulizoziandika muda ule kule hapo itafunguka na angalia upande kushoto chini utaona SMS, call history na vingine vingi, hapo utakuwa unaamua mwenyewe ni muda gani uangalie. ANGALIZO Kama unampenda usifanye hii, ila kama unamtafutia sababu ya kumuacha ruksa kufanya. HAKUNA MKAMILIFU HAPA CHINI YA JUA. Mlale unono.   - 22 people likes

WANAWAKE WENYE TABIA HII WANATUMIKA SANA NA WATAENDELEA KUTUMIKA WASIPOBADILIKA

Straight kwenye mada wakuu. Kuna aina ya wadada flani ambao akili zao ziko upside down sana. Unaweza kumdate, ukapewa burudani Mara moja au zaidi, sasa kichekesho ni pale mmepishana jambo dogo tu anakwambia basi tuachane bhana. Wanawake mnaosoma huu uzi, nawakumbusha kwamba thamani yenu hua kubwa endapo hamjatoa burudani ila ukishatoa burudani basi usipende kutishia kuachana na mwanaume kwa sababu wakati huo mwanaume hua hana cha kupoteza kabisa, hata Kama alikuelewa sana kunako 6*6. Wanaume tulio wengi wetu hua tunahesabu vichwa tu, sasa ukishajua umetumika punguza jeuri maana utatumika sana tena sana. Hakuna siku mwanaume atampenda mwanamke jeuri labda kwa limbwata. Ukimtishia mwanaume kuachana ilihali ushampa burudani ujue umempiga chura teke, tegemea kuongeza idadi ya waliokuonja na utaendelea kuonjwa. Utakua used sana We endelea kuchukulia poa kuachana na kila mwanaume. Hasara ya mwanaume kuachana nawewe nipale anapokua hajakupata(hujampa burudani), Kama kashakupata aisee mwanaume hana hasara, utaendelea kutumika sana tu. Mapovu yanaruhusiwa hapa.