Jumatatu, 12 Februari 2018
WANAWAKE WENYE TABIA HII WANATUMIKA SANA NA WATAENDELEA KUTUMIKA WASIPOBADILIKA
Straight kwenye mada wakuu.
Kuna aina ya wadada flani ambao akili zao ziko upside down sana.
Unaweza kumdate, ukapewa burudani Mara moja au zaidi, sasa kichekesho ni pale mmepishana jambo dogo tu anakwambia basi tuachane bhana.
Wanawake mnaosoma huu uzi, nawakumbusha kwamba thamani yenu hua kubwa endapo hamjatoa burudani ila ukishatoa burudani basi usipende kutishia kuachana na mwanaume kwa sababu wakati huo mwanaume hua hana cha kupoteza kabisa, hata Kama alikuelewa sana kunako 6*6.
Wanaume tulio wengi wetu hua tunahesabu vichwa tu, sasa ukishajua umetumika punguza jeuri maana utatumika sana tena sana.
Hakuna siku mwanaume atampenda mwanamke jeuri labda kwa limbwata.
Ukimtishia mwanaume kuachana ilihali ushampa burudani ujue umempiga chura teke, tegemea kuongeza idadi ya waliokuonja na utaendelea kuonjwa.
Utakua used sana
We endelea kuchukulia poa kuachana na kila mwanaume.
Hasara ya mwanaume kuachana nawewe nipale anapokua hajakupata(hujampa burudani), Kama kashakupata aisee mwanaume hana hasara, utaendelea kutumika sana tu.
Mapovu yanaruhusiwa hapa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
🌹 Ushuhuda Wangu Kuhusu Dkt. Dawn – Mtu Aliyerejesha Nyumba Yangu na Furaha Yangu
JibuFutaNataka kushiriki ushuhuda wangu wa dhati kuhusu jinsi Dkt. Dawn alivyobadilisha maisha yangu kabisa.
Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na alikuwa ameenda kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwangu — na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini si hayo tu — Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyokuwa ikizunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote — huzuni, bahati mbaya, au mkanganyiko — usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.co