Jumanne, 29 Machi 2016

SIRI YA KUFANYA MATITI YASILALE

Naomba niwakumbushe kuhusu namna  za kuyafanya matiti yako (ya mwanamke) kutolala... jaribu kusoma hizi step kwa makini na pia kuzifuata kama ikiwezekana..

 Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi (kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako yapumzike, kwamba hakutakuwa na mninginizo wa titi kuning'inia kama utakuwa umelala chali(lalia mgongo) au kiubavu.

 Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali hapo kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe kama dada mpe moyo kuwa avumilie. Afanye hivyo mara 20 kila asubuhi.

Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke mbele

nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyumba kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo)....fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu njinsi unavyokua. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni