Jumanne, 29 Machi 2016

WIFE KADAKA MESEJI SIJUI NIMSINGIZIE NANI!

 Juzi mchana kutwa nilichepuka na kabinti kamoja mwaka wa pili Chuo fulani hivi huko pande za Moro.
 Jana mida ya saa mbili na nusu usiku  akanitumia "text" kwa ajili ya kunipongeza kwa kutoa mgegedo mtamu haijapata kutokea kwake  kwani mgegedo ulikidhi mahitaji yakeya kimwili na kiakili!, lakini pia alinipa taarifa kuwa mapaja yamechubuka  na alishindwa kwenda “prepo” kujisomea kwa ajili ya University Exams yaani  "UE" ya J'3 na hajui itakuwaje!
 Pamoja na kuifuta text hiyo kwenye simu yangu, iliendelea kuja kila baada ya dakika 30 ama baada ya saa  moja na nusu  hivi. Sasa jana saa sita usiku ilijirudia tena na WIFE akafanikiwa kuinasa.

Mke amesepa kwao: Nadhani  mpaka muda huu yupo kati ya Chalinze na Morogoro kama basi linatembea vizuri, maana anarudi kwao  Iringa!Ana hasira kiama sijui nifanyeje wadau!naombeni ushauri!?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni