Jumanne, 29 Machi 2016

USISHIKE SIMU YA BABY WAKO

Mimi ni kijana umri miaka 26,naishi  jijini Dar es Salaam nafanya kazi katika hizi benki kubwa hapa nchini nina  mchumba wangu anafanya kazi katika kampuni moja hivi ya mitandao ya simu ,japo hatujaoana lakini tuna kawaida ya kutembeleana mara kwa mara,yeye anaishi Kinondoni Mkwajuni mimi naishi Ubungo Riverside.

Weekend hii ya sikukuu ya Pasaka nilienda kumtembelea akanipa simu yake nimwekee vocha nikiwa naweka vocha nikashangaa sms inaingia "honey uko wapi".
Sikumwambia chochote na wala sikuifingua iyo sms ila niliweza kuisoma coz simu yake ni smartphone aina ya Sumsung  Galaxy  yaani sms ikitumwa uwa inapita kwa juu unaweza kuisoma yote.Nikajikaza kiume niliamuua kufungua whatsapp yake nikaanza kupitia baadhi ya chatting zake moyo ulitaka kupasuka pale nilipokutana na chatting moja amechat na mwanaume nilijua ni mwanaume kwasababu  niliangalia profile picture yake na sms zao zilinitisha sana jamaa kuna sms anasema " Juzi nilifurahi  mno ulivyonipa tamu tamu yako!"
 halafu mchumba wangu ali sms akajibu." Mwenzio sijazoea huko umeniumiza!".
 Kuna sms nyingine jamaa alituma akisema,
 "Mwezi wa sita inabidi nikutie mimba".
Mchumba wangu akajibu tena kwa madoido
 “Unajua  kuingiza tu mimba  tu kulea huwezi,kwa jinsi ulivyo kuwa mbaili wewe!hahah niache usinipandishe nyege mimi sasa!”
Jamaa akajibu “ Mtoto atalea Banker”
“ Haya bana ila kukuacha wewe siwezi!Lol!”
Daah niliishiwa pozi nikakausha na kulamba konyagi kubwa sasa hang ove r imekata natafakari!


Naombeni ushauri wenu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni