Jumatatu, 28 Machi 2016

ZIJUE SABABU ZA WANAWAKE KUPENDA VAA NGUO NUSU UCHI

Baada ya kutokuwepo hewani kwa muda wa miezi kazaa wadau wangu wa blog yetu ya Fumanizi.blogspot.com,
 leo nawaletea uzi mtamu wan i kwanini au sababu gani  zinazopeleka  wanawakesiku hizi kupenda kuvaa  kuvaa vinguo nusu uchi na mchana kweuoe!
Siku hizi kumezuka wimbi zito la wadada wengi kupenda kuvaa nguo za nusu uchi mfano skini taiti,mini sketi na nguo zinazoonesha uwazi yaani transparent wengi wao wakiwa ni wake za watu na wasio na ndoa au wasimbe.Hizi chini ni sababu zifuatazo zinahusika. Wakati mwingine wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababuya kutafuta soko kwa wanaume,sio sawa ni matatizo ya kisaikolojia tu.
Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa fidia kutokana na kuamini kwao kwamba wanamapungufu kwa mfano sura zao zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri yaani “usafiri” na makalio “kijungu”   inabidi kuziba pengo au udhaifu huo.
     Wakati mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa niwazuri, wamekuwa wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao. Sababu ni kuwa wengi huwa wanavaa vijinguo hivyo ili kuficha udhaifu wa maumbile yao.Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo.
Inawezekana wameshindwa kulinda ndoa zao, au inawezekana hawajaolewa na sasa wanataka kuonyesha kwamba,” pamoja na kutoolewa kwangu au kuachika, bado mimi ni mzuri tu!”.
Udhaifu wowote ambao unamkera mwanamke iwe ni wa moja kwa moja au kupitia nyuma ya ubongo wake(saikolojiko problem), unaweza kuonyeshwa kwa mwanamke huyo kuyatangaza yalemaeneo ya mwili wake ambayo anaamini ni mazuri kama vile matiti,miguu,makalio,mapaja nan k.
Kuyatangaza huko humpa ahueni kwa kuamini kwamba bado anayo thamani, kwani ataangaliwa sana na wanaume, kusifiwa na penginena hata  kutongozwa.
Hebu angalia wanawake ambao wanavaa nguo za kubana huku wakiwa na makalio makubwa hawa mara nyingi wana sura ambazo wao au wengi huamini kwamba ni mbaya.
Huvaa nguo hizi ili kuonyesha kwamba, pamoja na ubaya wa sura zao, bado wao ni wazuri sana katika maeneo mengine ya mwili ambayo wanaume na hata wanawake wengi huyapenda au kutamani kuwa nayo.
Wengi hawavai tu nguo hizi za kubana kwa sababu ni fasheni, la hasha, wengi hili ni kimbilio la udhaifu wao

-Mathalani msichana huyo yeye mwenyewe akadhani na kuamini kuwa ana sura mbaya, hivyo suluhu yake ya kuficha udhaifu huo ni kuvaa nguo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili wazi ili kutoa ujumbe kuwa "japo nina sura mbaya lakini miguu, tumbo, au matiti yangu mazuri". Lengo ni kuonesha kuwa japo ana sura mbaya lakini ana sehemu nyingine nzuri na zinazovutia.

-Au labla binti mzuri wa sura na natural color, lakini hajaolewa. Naye anaweza kuvaa nusu uchi ili kuleta ujumbe kuwa "japo sijaolewa lakini mimi ni mzuri wa sura na viungo vyangu vingine" ili tu kuwavutia wanaume aidha wasione udhaifu wake wa kutoolewa na/au atongozwe.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni