Jumanne, 29 Machi 2016

NIMEFUMANIWA MWENYE MKE KAKAA KIMYA!

Wadau,
Kuna shemeji yangu ambaye nimezaa na mdogo wake wa kike ameolewa ni mzuri na amejazia sana   tumekuwa na mahusiano ya siri ya kupeana mgegedo  tangu 2014 pindi baada ya mdogo wake kuamua kuhama Dar na kurejea Tunduma kwao ambapo  aliolewa na bwana mwingine.
Mume wake huwa namuita kaka maana amenizidi umri na pia kwa kuwa ameoa dada wa demu wangu.
Huyu mumewe ni mtu mpole na mkarimu sana ni  fundi magari hivyo huwa tunamwita kutengeneza kidaladala chetu kinapoharibika na huwa natumia mwanya huo kwenda “ kummega” mkewe.
Jumapili iliyopita nilimpigia simu aje kutengeneza gari(mimi naishi Kinyerezi nayeye anaishi Jet. Akaja nikamwambia akague gari ili nimwachie hela kwa ajili ya kununua vifaa.Alifanya hvyo akanipa hesabu ya spares nikamwachia hela na nikamsisitiza kwamba akimaliza kutengeneza afanye test ya gari ikibidi hadi Mbezi.
Lengo langu likiwa akianza kutengeneza gari na ule muda wa kutest niwahi fasta nyumbani kwake kula uroda shemeji yangu.Wakati anafuata spare Ilala mi nikamuaga kwamba naenda Tegeta hivyo tutawasiliana akimaliza matengenezo.
Mwanaume nikaenda zangu Jet ambapo nilimkuta shemeji ameshajifukizia udi kwa ajilia ya masham sham ya sita kwa sita  mle ndani kwake.Tukafanya yetu huku tukiamini jamaa yupo bize na gari hivyo akimaliza lazma atanipigia kunijulisha.Nami kila mara nikawa nampigia kumuulizia alipofikia,bahati mbaya mara ya mwisho kumpigia hakupokea simu nikaamini atakuwa anatest gari maeneo ya Kinyerezi alipokuwa akiitengeneza.
Lahaula kumbe jamaa aliamua kutest gari kuja nyumbani kwake Jet bahati mbaya au nzuri nilishapiga bao zangu mbili tukakaa na shemeji sebuleni huku nimevaa singlend.
Ghafla jamaa kaingia ndani katukuta tumekaa sebuleni na wife wake akasalimia akanipa feedback na kunieleza kaja na gari ipo nje.
Kwakweli nilifedheheka sana kwakuwa nilimuaga jamaa naenda Tegeta nasasa kanikuta kwake.Nilimpa hela yake ya ufundi tena kwa kumzidishia amount ili kuficha aibu na jamaa alipokea lakini hakuwa sawa kama nilivyomzoea.
Sasa ndugu zangu nafsi inanisuta kwa kumuibia jamaa mke wake ukizingatia ndio fundi wetu na huwa anatusaidia kwa mengi kiufundi.
Nikiwasiliana na shemeji yangu anadai jamaa hajamuuliza chochote ila kwa upande wangu sijaridhika kabisa nahisi jamaa alihisi mchezo mbaya hivyo kukaa kimya tu.

Wadau nifanyeje  nikimpigia simu kuhusu gari anapokea na kunipa maelekezo kama kawaida kama vile hakija tokea kitu chochote.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni