Jumamosi, 25 Juni 2016

ILE NAINGIA TU OFISINI JAMAA ANAPIGA KOFI WOWO LA WIFE HUKU WIFE AKIFURAHIA SANA!

Jumatatu nilikwenda kazini kwa mke wangu kuchukua ufunguo wa nyumbani kuna kitu nilisahau nyumbani hivyo niliitaji kukirudia, yeye ndo huwa anawahi kurudi nyumbani so huwa anakaa na ufunguo, wangu nilipoteza kwenye pombe.Sikua nimempigia simu nilijua atakuwepo tu kazini.
Nilipofika pale nilielekezwa na watu wa mapokezi chumba cha ofisi anamofanyia kazi. Unexpectedly, nilipofungua tu mlango wa chumba hicho nikakuta jamaa mmoja staff mwenzie na wife akimpiga vibao wife kwenye wowowo nalopumzikia mimi huku wife akifurahia kitendo kile na staff wote mule wakifurahia. Yule bwana aliendelea na zoezi hilo huku wife amekinga wowowo na staff wakiendelea kufurahia tukio hilo.
Wakati huo mimi nimeganda mlangoni kwa mshangao mkubwa nikijiuliza hili lijamaa litakua halijapata kweli? Hadi kufikia hatua hiyo? Wife alipogeuka mlangoni akakutana uso kwa uso na mimi almanusura azirai, alitweta, jasho jingi lilimtoka, wale staff mle ndani hawanifahamu hivyo hawakujua kinachoendelea, nikafunga mlango taratibu na kuondoka kwenda kwenye lift, wife akawa ananikimbilia kwa nyuma kimya nadhani kwa kuogopa staff wengine wasijue chochote.
Nilipoingia kwenye Gari akaanza kuomba anielezee sikumpa nafasi hiyo nikawasha Gari na kuondoka nikarudi usiku wa manane home, nikamwambia park vitu vyako asubuhi pakikucha uondoke sikutaki tena alilia sana alikesha ananibembeleza nisimwache kwamba ulikua ni utani tu wa ofisini hawana uhusiano wowote na yule jamaa, kwamba tumpigie hata simu na wengine pia pale ofisini.
Nikamjibu kwamba sihitaji kuelezewa nimeona kwa macho yangu, na kwamba kuwepo na mahusiano au kusiwepo kwangu sio tija sana, linalonisikitisha ni mke wa mtu kukosa adabu kiasi kile na kujirahisisha kwa wanaume, kushindwa kujiheshimu na kuruhusu mwanaume mwingine akupige kofi kwenye makalio ndio dhambi kubwa katika sakata hili.
Kwa tabia hii wanaume wote office nzima watakutongoza wakiamini ww ni maharage ya mbeya, hivyo sikutaki tens
Nikamjibu hivyo. Amengangania kwangu tangu siku hiyo hataki kuondoka akiomboleza na kuomba msamaha, ingawa sisemi nae chochote tangu siku hiyo bado namvutia kasi.

Huyu mwanamke hatujafunga ndoa, ila tunaishi tu, nilimleta hili kum replace mke wangu wa kwanza tulieachana kwa talaka mahakamani kutokana na mimi kushindikana kwa uzinzi nina watoto na mtalaka wangu ambao tunasomesha pamoja
ni muda tangu tulipoachana ila haachi kusisitiza turudiane tulee watoto pamoja, anadai ndugu yake wakili ndie aliemchochea kuomba talaka miimi nilishindwa kurudiana nae kutokana na guilty conscience kwa matendo niliyomtendea

Sasa waheshimiwa huyu nilie nae sasa nilimwambia nakupa probation niweze kuiona tabia yako, maana katika mazingira yasiyoeleweka akawa akija kwangu anaacha nguo hadi kufikia begi mbili ndivyo tulivyoanza kuishi hivyo.
Kwa hili nililoliona si ameshindwa probation huyu? Maana nimeamua kuwa mtu mzuri na kuacha mabaya yote yaliyosababisha nishindwane na familia yangu.Hebu nisaidieni suluhisho

Way forward please!?

Fredy:

 1. Kushikwa makalio ndo alama ya wao kuwa na mahusiano?
2. Kushikwa makalio ndo alama ya kwamba atatongozwa na kila mu ofisini kwake? Kwani asiposhikwa hawezi tongozwa?
3. Kwanini hujampa nafasi ya kumsikiliza ili uwe fair kwenye maamuzi?
4. Unadhani kumtimua ndo suluhisho la hali unayopitia?
5. Haya, let us say umemtimua, una uhakika gani utakayemleta hatayafanya hayo au zaidi ya hayo?
6. Haya, let say umebadili wanawake mara kadhaa, na wee hujabadilishwa, do you think wenye matatizo ni hao wanawake au ni wewe? You know sometimes binadamu huwa tunakimbia vivuli vyetu... tunasahau kuwa jua likiwaka tu, kivuli hichooooooo....

Waza kwa kina hayo maswali... Utapata majibu!

SALUM:
Inategemea ulikutana nae wapi Mkuu; kwa utamaduni wa kiafrika ni aibu na fedheha kubwa kwa mwanamke potelea mbali mke wa MTU kushikwa makalio tena mbele ya hadhara ya watu! huo ni upungufu mkubwa wa Maadil! Acha uzinzi rudia mke wa zaman Mkuu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni