Ijumaa, 24 Juni 2016

BOSS AFUMANIWA OFISINI MCHANA KWEUPE!

Wandugu habari za kazi,

Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.

Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii ni bone la haibu.

Kuna mdada nafanya nae kazi hapa ni mzuri mwenye mvuto  ameolewa na ana watoto wawili nan i mwenye kuipenda sana familia yake kwani kila wakati ni kumuongelea tu ofisini kuhusu mumewake tu.

Cha kushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini ghafla bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa kwani ilikua ni luch time. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi amemuinamisha yule dada wanapeana mautamu mchana kweupe ofisini.

Jamaa kuona vile alishikwa na butwaa kama dakika kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.

Kwa kweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea.. Jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake.
 Huku nyuma ameacha mtafaruku wa hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena,Boss nae amechanganyikiwa.
 Nitawajuza kitakachojiri baada ya hapa.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni