Jumamosi, 25 Juni 2016

WANAUME ACHENI UBAHIRI!MJIONGEZE!

Aisee wanaume na nyie mmezidi hamtaki hata kujiongeza  mnapenda mitelemko tuu!
Sisi wanawake wote tunapenda sana wanaume wanaojiongeza, anakujali, anakuheshimu, anakupa pesa si kwa malipo ya ngono AAAH Mwanamke matunzo baba unaniona napendeza nanukia vizuri bado tu hutaki kugaramia ata kidogo!Nyoooo!
Mwanaume wa kweli  anaona furaha ukivaa na kupendeza kwa kutumia pesa zake.

Lakini MWANAUME WA AINA HII APITE MBALI NA MIMI:

1. Anapiga simu, "Baby nimekumiss, naomba nije kwako nikusalimie" Akija mikono mitupu, atakuta maskini umepika, unampa ale, aoge, mtiane, akae kwenye tv aangalie mpira au mieleka.
2. Vocha natoa mimi
3. Chumba change,kitanda changu, mashuka, mito yangu,mwili wangu n. k
4. Hajatoa pesa ya chakula, lakini anavojua kukandia"bby spendi mchicha, si ungepika samaki" Utadhani kachangia pesa.
Keruuuu!
SHIDA NI HIVI!
1. Kitandani 0
2. Matumizi 0
3. Usafi wa mazingira 0
4. Usafi wa binafsi 0


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni