Jumatatu, 1 Agosti 2016

UNA JINASUAJE HAPA?



  1. Hivi ikitokea bifu kati ya mke wako na mchepuko, halafu mchepuko kwa makusudi ukaanza kumwambia mkeo kuwa huyo mme tunachangia, lakini mkeo kwa madaha akaanza kuurusha mchepuko kwa kuuambia kuwa mme wangu amekosa wanawake kabisa mpaka atembee na wewe?Mwanamke gani hata shepu ya kutembea na mme wangu huna!

    Balaa lake sasa mchepuko ukaanza kuelezea mgegedo wako a-z ili kumwonyesha mkeo anakujua nje ndani, na maelezo ya mgegedo au kovu la kwenye kichwa au kibamia chako kwa jinsi mchepuko ulivyoeleza, mkeo anajiridhisha kuwa mbona ndio mgegedo wa mme wangu uko hivyo kweli!Hapohapo mchepuko unamwambia mkeo mkapime afya kwani yeye tayari!

    Utajinusuru vipi mkuu kama ingelikuwa ni wewe? 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni