Jumanne, 2 Agosti 2016

NIMEJARIBU KUMTONGOZA MCHUMBA WANGU KWA NAMBA NYINGINE AMEKUBALI

Leo  kiukweli nimechanganyikiwa.
Mwakajana  nilimpenda binti mmoja, nikamchumbia nikapeleka posa na mahali nikatoa nusu.
Sasa leo nimenunua laini mpya ya Halotel nikaanza kumjaribu mchumba wangu kumtongoza kwa SMS,tongoza nay eye tu kuanzia asubuhi nikamdanganya nilionanan nae kwenye seminer za afya(kumbuka mchumba wangu ni Nurse). Huwezi amini, amekubali kuja geto kesho kwa vile nimemuahidi endapo atakuja nimgegede nitampa elfu 50, kakubali.Ameanza na kunitumia picha za utupu ila akikata kichwa kwa ku fanya cropping kwenye simu.
Basi nikampigia kwa namba yangu halisi nikamuomba kesho tukutane amekataa kwa kusingiiza kehso watakua busy thieta na operation za wagonhwa. So, nimesikitika sana na ndugu zangu.

Hebu tubadilishaneni uzoefu tafadhali!

Maoni 1 :

  1. Harrah's Philadelphia Casino & Racetrack - MapyRO
    Compare Harrah's Philadelphia Casino & Racetrack 논산 출장샵 locations and see 1591 reviews: 계룡 출장안마 "I can't believe this is 여주 출장안마 one 수원 출장안마 of the best casinos in the world 여수 출장샵 I'll

    JibuFuta