Jumatatu, 1 Agosti 2016

WANAUME UKWELI NDO HUU

  1. Wanaume huwa tunatamani sana kupata mke bora a.k.a wife material lakini cha ajabu tukiwapata
    tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati
    tuliwatafuta wenyewe...
    Ukiona Mwanamke ana wivu na wewe,anakufuatilia
    mambo yako,uko wapi,umekula,umekula nini,umekula saa ngapi,kwanini hujalala,kwanini
    umepiga picha na mdada asiyemjua,kwanini
    hujamtafuta nusu saa,kwanini uko Online Whatsapp
    lakini haumtext, TUNAANZA KULALAMIKA,"Oh huyu
    Mwanamke ana wivu sana mi siwezi"
    Mwanamke mwenye Wivu SHES IN LOVE...SHES LOYAL..SHES FAITHFUL
    Hawa makurumbembe tunaowapenda kisa
    hawatusumbui wote WEZI NA WAONGO TU,they are
    after something,Kwao Mapenzi ni rahisi kama kuagiza
    Saint Anna
    Wanawake FAITHFUL hapa Tanzania wako 3 kati ya mia tano,kama umempata kukutana nae jua una bahati
    usimwache,mshikilie mpende sana mtunze,usimtibue...Akiondoka
    huyo utapata Bata la Uswahilini,hata uuchune SIKU 2
    na yeye hakutafuti,utabakia na Majuto while Shes
    Gone na amempata aliyeona thamani yake...
    WANAUME HATA HATUELEWEKI TUNATAKA NINI SOMETIMES,Hata mnune mpige mawe UKWELI NDIO
    HUU! 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni