Jumatatu, 1 Agosti 2016

WANAWAKE CHUKUENI UJANJA HUU

Kuna Sampuli Flani ya Wanaume akikupenda
Utafurahi,Utaenjoy Penzi kwa kipindi chote,kila
unachotaka unapata,atakupa hili mara kile shopping za kumwaga eeh !masofa! i phone 6 galaxy za kumwaga,Kasheshe siku ya kuachana ikifika ni balaa...
Kwanza Anakuandikia bonge la SMS la Mkwara
"Hey,Kesho Sa4 asubuhi ntamtuma Dereva hapo kwako,atakuja na Kenta ya blue naomba Lile
Kabati nililokununulia ulisafishe vizuri,na zile Cheni 2
nilizokuletea toka Dubai umpe,Funguo za Gari
umkabidhi atakuja kuipaki home,na Makochi seti zote
2 ya sebuleni na kule room kwako umpe.Nilikwambia
na iPhone 6s niliyokununulia kwenye Bday yako uondoe details zako unletee hujafanya hivyo,Please
mpe ushirikiano ukizingua nikitimba hapo
patachimbika"
Anatamani angekuwa na uwezo wa kudai refund
hadi ya Bili zote za Outing zote alizokupeleka wakati
anabembeleza umpe papuchi. UKITAKA KUMKOMESHA WE MJIBU HIVIII;
"Kwanza Kesho Sipo home naenda Kigamboni with my
Girls,na kuhusu Kabati,Sofa,iPhone6 na Gari
USIJISUMBUE wala hutavipata...Yaani Umenitumia
Weeee halafu leo uje uninyang'anye kirahisi tu nilale
kwenye mkeka??THUBUTU...Unajua thamani ya Papuchi yangu ni bei gani??Tukipiga Mahesabu
utajikuta Nakudai Gubegube Wee...Siku ya 1 nakupa
zigo UKAPIGA VINANE kwa sifa nikakuangalia tu,Siku
ya 2 UKAPIGA TENA VINANE na kusimamia kucha
kama umeilipia VAT,ulidhani bure zile??Kwa haraka
haraka kwa Mwaka tuliokaa umenipiga kama Vikojozo 2300 na kila kikojozo ni Elfu 10,Piga Hesabu zako uone
kama unanidai Mwanaume Usie na Haya,wenzio
wanahonga we unadai ulivyohonga bila aibu...hehee shutuuu!HAVE A
GOOD DAY"
Hatokujibu Milele!!Wanaume tafuteni hela,ni aibu
kudai zawadi ulizompa wakati Mapenzi yakiwa Hoti Hoti,Huo ni Uandazi Uliopitiliza!Ukishamlaza Chini kwa
kumnyang'anya Kitanda UNAFAIDIKA NINI??

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni