Jumatatu, 1 Agosti 2016

WANAUME PLEASE MKOME!

  1. Moyo waliopewa WANAWAKE akipewa Mwanaume hata kwa Siku moja  tu LAZIMA AFARIKI!
    Ule uwezo wa kuvumilia Maumivu ya Kuzaa ndio huwa unawafanya wavumilie mambo wanayotendewa na Wanaume kiasi ambacho hadi wewe Mwanaume unajiuliza,HADI HILI

    AMENISAMEHE,INAWEZEKANAJE!
    Kama kuna jambo Wanaume huwa wanakosea basi ni kudhani kwamba Wanawake ni Wajinga...Hawajawahi kuwa Wajinga ila

    Wameumbwa na Moyo wa Uvumilivu uliopitiliza..Na Mungu aliwatengeneza hivyo makusudi...Ni sawa na Mwanamke anavyoweza kumvumilia Mwanaume ambaye kwa Miaka 10

    anamgusagusa tu na kibamia chako bila kumfikisha kileleni lakini Mwanamke yupo tu..Uvumilivu ulioje!Mwanamke anayeweza kukaa na Mwanaume mlevi anayempiga ngumi kila akirudi ila yeye yupo tu..Sio kwamba

    ni Mjinga,LA HASHA!Ni katika ule Uvumilivu tu..
    Kasheshe ni pale Mwanamke huyu ANAPOCHOKA...Anaweza akavumilia miaka 10...Unampiga...Anakufumania..Humfikishi

    Kileleni..Ila Siku Akichoka akasema KWAHERI,Ule Moyo wa Uvumilivu huwa UNAGEUKA na kuwa JIWE GUMU na hata uimbe mashairi ya "Bado ananijia ndotoni ila nikiamka simuoni bado ananijia nikilala Haki ya Mungu sio masihara"

    HATARUDI na utabakia kiwete wa mahaba yake daima...Kabla hajafikia Stage ya KUKUCHOKA,chondechonde kumbuka nayeye ana Moyo,MPE ANACHOSTAHILI!
    Usichanganye Uvumilivu wake ukadhani ni Ujinga,ITA KU COST JOMBA!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni