Kuna jamaa mmoja namfahamu anapenda sana ngono na pia ana
uwezo mzuri kipesa, sasa kuna wadada wengi alikuwa akiwatamani sana ila
kuwapata ikawa ni ngumu kwasababu domo zege alafu mvuto hafifu,alichofanya ni kwenda hadi kwa mganga mmoja maarufu
sana ambaye wanawake wengi hupenda kwenda kwake, akampatia yule mganga mshiko
wa maana na kumwomba kuwa kila mwanamke
mrembo anayefika kwake aidha kutafuta dawa ya kupata mchumba awe anaambiwa na
mganga kuwa, ukitoka hapa mwanaume utakayekutana nae njia panda wa kwanza
kukusemesha ,usimkatae maana huyo ndo anapata na mzimu wako wa mafanikio na
uhakikishe umetembea naye tena ikibidi siku hiyo hiyo utafungua njia ya bahati
katika mapenzi.
Baada ya kupanga mikakati yote na yule mganga, jamaa akawa
anabana sehemu ya njia panda na kusubiri
mwanamke anayetoka kwa mganga na tayari wanakuwa wamefanya mawasiliano na
mganga juu ya ujio wa uyo mrembo!, jamaa tayari kamaliza mabinti kibao!
Anakuwa amevalia mavazi tofauti tofauti ili asitambulike na ana laini kibao za simu,
anahakikisha kuwa kawalala siku hiyo hiyo.
Wadada mgeukieni Mungu kwa shetani hakuna kitu zaidi ya
mauti.
Ushuhuda Wangu wa Kutoka Moyoni 💖
JibuFutaBaada ya baba yangu mdogo kuniacha kwa miezi saba mirefu, nilikuwa nimevunjika moyo kabisa. Alinizuia kwenye mitandao yote ya kijamii, akaondoka, na hakukuwa na njia ya kumfikia. Karibu nikate tamaa, lakini ndani kabisa nilijua singeweza kupata mtu yeyote ambaye angenipenda na kunitendea jinsi alivyonitendea.
Siku moja, bosi wangu kazini aligundua jinsi nilivyokuwa na huzuni na akanitambulisha kwa Dkt. Dawn. Dkt. Dawn alisikiliza hadithi yangu na akaahidi kwamba mpenzi wangu angerudi kwangu ndani ya siku tatu. Kwa kweli, sikuamini mwanzoni—lakini kwa mshangao wangu mkubwa, siku ya tatu simu yangu iliita. Ilikuwa yeye! Alikuwa akilia na kuomba msamaha, akisema hataniacha tena.
Tangu siku hiyo, uhusiano wetu umekuwa na nguvu na uzuri zaidi kuliko hapo awali. Amekuwa akipenda na kunijali mimi na mtoto wetu, na sasa tunafunga ndoa katika miezi miwili tu! ❤️
Shukrani zote kwa Dkt. Dawn, ambaye kwa kweli alifanya jambo lisilowezekana liwezekane. Ninampendekeza kwa moyo wote kwa yeyote anayekabiliwa na changamoto katika:
Masuala ya uhusiano au ndoa
Ugonjwa au magonjwa
Matatizo ya utasa au bahati nasibu
Kesi za mahakamani au urejeshaji wa mali
Dkt. Dawn kweli hutatua matatizo kwa ufanisi na hurudisha furaha katika maisha ya watu.
Wasiliana na Dr. Dawn kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com