Alhamisi, 21 Januari 2016

FIXSI HIZI ZA WANAUME BALAA!

Kunasiku moja ilitokea kali ya mwaka,Chifu alisafiri kueleka Younde,Cameroun alikua na simu tatu na line tatu......sasa mi nikajua kaondoka nazo zote nikawa nimebaki tuu home sasa kupekuapekua na usafi kwenye kabati la nguo nikakuta simu mbili zimesahaulika kaondoka kaziacha.
Nikazichukua nikaziwasha meseji zikaanza kutiririka,nikaanza kusoma meseji weee!Zilikua za mademu wake ila hajasevu majina nikaanza kumsevu mmoja nikamsavu kama honey,wa pili nikamsavu kama darling na watatu nikamsevu kama baby.Zilikua ni meseji za wadada watatu tofauti.Alikaa wiki tatu akarudi wala sikumwabia neno lolote na simu zake alizikuta mezani tena na sio kbatini...alivyorudi hata hakuuliza kitu alikaa kimya tu.Nadhani baada ya kuanza kuzisoma meseji kwa muda wake mwenyewe akaanza kujichekesha tuu kama vile bar nedi kapata bwana mpya,mara ooh baby nikununulie gari  mpya hii unayotumia imeshachoka nikaka kimya tu.Mara oooh baby chukua hela hii watumie wazazi kule kijijini!

Hahaaa men....your full of suprises kwakweli!.

Maoni 1 :

  1. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    JibuFuta