Jumapili, 31 Januari 2016

MKUKI KWA NGURUWE MTAMU!KWAKO JE....?

Embu jiulize hivi mwanaume unapokua unagegeda mke wa mwenzio, unamgeuza geuza na kumbinua unavyotaka kama chapati, unamkunja na kumkunjua, jasho linakutiririka tu uku unafurahii mwenyewe uroda unaoupata unadhani mkeo atabaki salama?

Piga ua galagaza lazima ujue kuwa ipo siku kuna mjanja wako pia kama wewe ulivyo mjanja kwa mwingine, mkeo ataliwa vizuri tu tena mastaili yoteee anatoa....najua hamtaki kusikia ili ila ndo hivyo.

Majuzi juzi nikakutana na njemba moja baadae niligundua kuwa kazi yake ni kupia “gea” kwenye “gusi” njia ya Ubungo- Kariakoo  jamaa linajisifia hatari ni dume tu la makamo umri unatosha kupewa shikamoo, simu yake inaita wee anapokea anajibu nakuja mama anakata, sekunde tatu nyingi simu inaita tena anajibu nimekaribia yani zilikuwa ni simu mfululizo mwisho akaona aongee "dah huu mchepuko unasumbua sana nishauambia nakuja hauelewi, huyu mwanamke ana ny*ge hadi zinamwagikia bla bla" 

Nikamwambia nenda kampe haki yake jamaa, ndo kuanza story huyu mwanamke nilimuonjesha mara moja yani kaniganda sikutegemea, anataka kila siku nimbandue sijawahi kukutana na mwanamke mwenye ny*ge kama huyu, kisa mashine yangu kubwa mme wake anayo ndogo basi akiishika hadi huwa anatetemeka (ha ha ha wanawake wabaya ndo nini sasa kutangaza ukubwa wa machine ya mmeo kwa mchepuko).

Bado nasimuliwa huu mchepuko unaniambia nije haraka  atanipa hela ambazo ningezipata (yaani hesabu ya tajiri) huwa nampa dozi vilivo hadi ananipa hela, yani hapo najua kishaloana (baba aliongea yule hadi nikahisi aibu sasa).. .

Nikamuuliza ukisikia nawe kuna jamaa anamshughulikia mkeo hivo utajisikiaje ha ha ha eti "mama angu ntaua mtu" nikajisemea tu Kimoyo moyo nyokooo wewe, we mbona unakula wa mtu nani kakuua..... akatokea mwanamama na dera lake masikini mali ya mwanaume inaenda kutafunwa.

Kavuruge mke wa mwenzio na wako avurugwe!!!!!!

Maoni 1 :

  1. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    JibuFuta