Jumatatu, 25 Januari 2016

KAMA UMEANZA KUCHEPUKA ACHA......UNAJUA HILI?

Tafiti nyingi zinaonesha kwamba,ndoa sita katika kila kumi huvunjwa na wanaume au wanawake baada ya kuchepuka.Lakini inaonekana pia kwamba wale wanaotoka nje ya ndoa zao,wengie ndiyo ambao huacha au kuacha.Ni karibu ndoa nane katika kila ndoa kumi,ambazo hufikia ukomo kutokana na kuchepuka.
Wanawake ambao wako chini ya umri wa miaka 30 ,ndio wanaoongoza kuchepuka kwa kiwango cha karibu sawa na wanaume.Umri huo ndiyo hatari sana kwa wanawake kutoka nje.Inaonesha kwamba,bado dini haigopwi sana linapokuja suala la kutoka nje.Waumini na viongozi wengi wa dini mbalimbali wanadaiwa kutoka nje kwa kiwangi kikubwa kuliko inavyodhaniwa.
Karibu wanawake wawili katika kumi na wanaume watatu katika kumi,huwa wametoka nje ya ndoa zao katika maisha yao hapa duniani.
Uhusiano mwingi wa kiuzinzi hudumu kwa  miaka mitatu tu na wapenzi huachana au kuachanishwa kwa kufumaniwa.Lakini mwingine hudumu maisha,ingwa na madhara yake nayo hudumu maisha.
Ni mwanaume mmoja kati ya kila kumi,ambye huwaacha mke wake na kuoa nyumba ndogo.Wengi hubaki na wake zao huku wakiwa na nyumba ndogo,au kuwaacha wake zao lakini hawaoi nyumba ndogo.
Hata hivyo ,wanane kati ya kila kumi miongoni mwa wale wanaowaacha wake zao na kuoa "nyumba ndogo" nao huja kuachana na nyumba ndogo hizo.Kwa hiyo,ni wawili tu kati ya kumi ambao hudumu na "nyumba ndogo" walizoziona baada ya kuachana na wake zao kwa sababu ya "nyumba ndogo".
Halafu wanane kati ya kumi ya kila aliyevunja au kuvuruga uhusiano wake na mume au mkewe kwasababu ya hawara,huja kujuta baadae.Ni waili tu kati ya kumi,ambao uvurgaji wa uhusiano wao kwa sababu ya hawara,hawaji kujuta.Hawa ni wale ambao  ndoa zao zilikuwa tayari na mashaka makubwa.
Huchukua mwaka mmoja mpaka mitau kwa ndoa ambayo "ilitingishwa" na fumanizi,wanandoa kuanza kuelewana tena kaka mawali.Hapo uhusiano huwa imara kuliko awali,au huingia mashaka ya "sirisiri".

Maoni 1 :

  1. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    JibuFuta