Alhamisi, 14 Januari 2016

NYIE WADADA CONDOM ZINAWAFANYAJE?

Kumezuka wimbi la wadada wengi kuwa na katabia ka kutopenda wanaume wao wavae condom,huku katabia ka watu kuwa na michepuko kakiota mizizi!
Utasikia "ooh!baby baomba umwagie nje tu,please usimwagie ndani!nitashika mimba!"
Baadhi ya akina dada wamekua wakipinga kufanya mapenzi na condom wakisingizia kuwa utamu unapungua,ooh wengine wakisingizia condom inasababisha wao kuwashwa,Wengine wamekua wakienda mbali zaidi kwa kusema hazisaidii kitu,kama ukimwi utapata tu.

Sasa nyie wadada nashindwa kuwaelewa hamjui kuwa UKIMWI upo?Ebu tuwekane sawa hapa!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni