Jumatano, 13 Januari 2016

INGEKUWA NI WEWE UNGEFANYAJE?

Unaishi na mme wako Jackson,ana kazi nzuri handsome wa ukweli,kutokana na u bize wa maisha ukaamua kuajili house gal ambaye nae ni mnene lakini amejazia sana makalio.Ghafla unagundua kuwa Mr amekua na ukaribu wa kawaida na uyo House maid na unaanza kumshuku vibaya ukihisi labda ameanza nae urafiki wa mapenzi,unaamua kutegesha mtego kwa kumtuma house maid mbali mkoani kwa wazazi wako ili kesho arudi.Usiku unaamua kujibanza na kulala kwenye chumba cha House maid!Mara ghafla usiku wa manane unahisi mkono wa mtu unakupapasa papasa kimahaba na unaamka na kuanza kumkumbatia huku muhemko na mashamsham ya mahaba niue yakiwa juu kwani unahisi huyu ni Mr na leo nimemkamata!unazidisha mbwembwe uku mkiendelea kugegedana na mara ghafla anataka kuingiza kinyume na maumbile unaruka,kwa ghazabu unapayuka!"Baba nanii umeanza tabia gani hiii!" unawasha taa ili uanze kumsuta kwa tabia mbaya ya kumnyatia house maid mara unakuta kumbe ni mlinzi!Ngosha!na wewe ndo mama mwenye nyumba ungefanyaje?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni