Jumanne, 5 Januari 2016

UZURI WA MWANAUME NI NINI?

Leo Shangazi nataka nikupashe upashike mtoto wa kike,eeh!mwari wangu hakuna kitu muhimu ndani ya nyumba kama kuandaa chakula cha mmeo kwa utulivu ili aamini cha nyumbani ni kitamu kuliko cha mama yake,siyo kulipua tu kama cha kwa mama ntilie!Jamani mtoto wa kike unapoamua kumpikia mumeo ,tuliza akili yote kwenye chungu kuhakikisha nyanya na vitunguu vinaiva,si kumtengenezea kachumbari ya kuchemsha nyanya vyake,vitunguu vyake!
Hayo yalikua ni kuwekana sawa hapa kazi tu!ukilemaa tu shoga yako akijua weekness zako lazima ajitegeshe kwa mumeo!kitu hot pot ndo habari ya mujini!hahahahaaaa kaogeeeee!
Nikupashe!Ivi unajua uzuri wa mwanaume nini nini?Bibi uzuri wa mwanaume ni Pochi!hahaaaa!kitu wallet!
Mi mwanaume akisema ooooh sijui nakupenda tabia zako siju nimeona tutaendana eeeeeeeh weweeeeew!ishia hapo hapo!Naona hapo ni mwendo wa kukopwa tu!mali kauli!Namwambia babu nenda Tandale sokoni au Kariakoo kwenye magunia uache mzigo kama ni nyanya !mali kauli!
Wanaume hawajui magic words kama "nimekupenda ulivuvyo nataka nikuboreshehe maisha mpaka watu wote waseme na washike adabu zao ukipita mahali waseme demu wa Chifu!"
Wengine utasikia na visingizio vyao vya kibahiri ooh baby vumilia najenga nyumba!Mwanaume akiwa bahiri hapati vitamu!kwani wewe ni mama yake?
Shosti hii gia ni kubwa hakuna mwanamke anayeweza kuchomoa mbele ya "ugali mwekundu" kitu noti mamaa!
Angalia mwanaume wako handsome alafu hana hela!oooh nipo chuo nasoma sijui!Mwanamke anahitaji matunzo na matumizi babu!Kitu shoping maramoja pale Splash Mliman City,tumechoka vya mitumba vinaharibu ngozi,jipige jipige babu gari huna basi hata ya bajaji jikaze nani apande bodaboda!Heeh huyu vipi?katoka wapi?

Maoni 1 :

  1. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    JibuFuta