Jumapili, 24 Januari 2016

KINACHOTOKEA BAADA YA FUMANIZI

Ukweli hakuna maneno marahisi ambayo yanaweza kuelezea namna mtu akimfumania mpenzi wake anavyojisikia .Kuna ambao wameripotiwa wakisema kwamba,kufumania ndilo jambo lililokuwa gumu kwenye maisha yao kuliko jambo lingine lolote.
Baadhi ya watu wanasema kwamba wakati wa kufiumania wengine walipata ukichaa kwa muda fulani,wengine  walihisi kufa  au kutamani kufa.Kwa vyovyote iwavyo,bado ni wazi kwamba ,tukio la kufumania lina maumivu mengi kwasababu kila mmoja wetu ana namna alivyofundishwa kuhusu kupenda,ana namna anavyoweza kuhimili usaliti wa kimapenzi na ana kiwango chake cha kujiamini ambacho ni tofauti na cha mwenzake.
Baada ya kufumania watu wengi hupoteza kumbukumbu,hajui kwa muda fulani ni wapi wanakwenda au nini wanachofanya.Hupata hisia ya kuvunjiwa heshima na kujiona wamewekwa uchi hadharani.Wanahisi pia kusalitiwa,kutumiwa ,kukataliwa au kuonekana kama gurudumu la akiba au "rubber stamp" tu!Hujina wamedharaulika na wapenzi wao kupita ukomo wa dharau.Baada ya kufumania,wengi hunyang'anywa hata uwezo wao wa kuwaamini wapenzi wengine watakaofuata.
Mawazo ya mtu aliyefumania hutangatanga na kunakuwa na ugumu wa kudhibiti vitendo vyao kutokana na hasira za ziada zinazowavaa wakati huo.Mawazo yao hujazwa kwa picha za wapenzi wap wakiwa na huyo "mchepuko" waliomfuma naye,akiwa anafanya nae mapenzi.Hii huzidisha hasira dhidi ya mpenzi na pengine dhidi yake mwenyewe.
Wapo waliofumania wamepoteza maisha kutokana na mshtuko baada ya kujua kuwa watu waliowaamini sana katika maisha yao walikua wakitoka nje,tena kwa njia ya kufadhehesha (aina ya mapenzi aliyokuwa akifanya).Kuna wapenzi au wanandoa wengi,ambao baada ya kufumania wameanza kuwa nyondenyonde wa afya hadi wakalala kitandani moja kwa moja pasipo kuamka tena.Kiukweli ni kwamba vifo vyao vimetokana na miili yao kuathiriwa vibaya na hisia zao baada ya tukio la kufumania.
Tunaposhtuka sana miili yetu huafanya mabadiliko mengi.Kwa mfano mshtuko au woga na pengine furaha huweza kusababisha mtu akafa kwasababu ,mwili unaweza kuzalisha kemikali nyingi ambazo zisizotakiwa mwilini ambazo huwa sumu kwa mwili.Wakati mwingine mabadiliko ya msukumo wa
damu na upelekaji wa hewa safi ubongoni hufanyika kwa nguvu sana au kusimama kabisa,jambo ambalo huweza kumdhuru mtu.(Inaendelea toleo lijalo...) .

Maoni 2 :

  1. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    JibuFuta
  2. Habari zenu. Ilikuwa ngumu sana kwangu wakati mpenzi wangu aliniacha kwa mwanamke mwingine. Niliharibiwa kihisia, nilivunjika moyo na sikujua la kufanya ili kumrudisha. Nilihangaika kwa miezi mingi na niliendelea kutafuta msaada kutoka kila mahali hadi nilipopata kujua kuhusu DR DAWN. Niliwasiliana naye na kumweleza shida zangu. Alikuwa tayari kunisaidia na kunisisitiza nifuate taratibu ili aweze kurejesha penzi kati yangu na mtu wangu na pia kuhakikisha tunarudiana wote wawili. Nilipata mahitaji yote na ilifanya kazi hiyo. Baada ya saa 48, nilipata ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu akiniuliza tarehe. Sasa tuko pamoja tena na shukrani zote kwa DR DAWN. Anaweza kukusaidia kumrudisha mpenzi wako,
    Anaweza kukusaidia na uchawi wa ujauzito,

    Anaweza kukusaidia kuponya aina yoyote ya ugonjwa.

    ikiwa uko tayari kuamini na kubaki na matumaini. Watumie barua pepe tu kupitia: dawnacuna314@gmail.com
    WhatsApp: +2349046229159

    JibuFuta