Alhamisi, 14 Januari 2016

NOGESHA PENZI!

Leo hii Shangazi yenu Zuu Shanga ukipenda niite shangingi wa zamani nakuja na mada motomoto iitwayo Nogesha Penzi!Mapenzi ni sayansi na sanaa mumo kwa mumo!Jiongeze bibi ayaangalii una Masters ngapi!
Shosti ngojangoja uumiza matumbo naomba niende moja kwa moja kwenye somo,mwanamke ukishikwa legea basi kidogo,sio unakakamaa kama mtoto wa kiume!
Kuna maeneo tofauti yanayotuzunguka ukiyatumia vyema basi kama ni penzi utakuwa umeweka kachumbari na kumfanya mwenza wako azidi kukuona mupya kila siku!Sio kila siku mmeng'ang'ania chumbani hukohuko kitanda kikiangalia mashariki na dirisha kusini.mtoto wa kike uwe na haya!mambo gani hayo!
Tukisema mwanamke mazingira sio tu usafi wa mwili wako na chumba!ni pamoja na kubuni mazingira gani Chifu umpe mgegedo!
Kama juzi ulimpa chumbani basi leo buni mazingira mapya mnyeshe bia ufukweni,hukohuko unamfanyia suprise!
Kwa mfano ukaamua kwenda jikoni unapika chakula na watoto wameenda shule uku ukimtega tega Mista na vinguo vya transparent ataingia kingi tu mwenyewe hukohuko jikoni!Una mpa mgegedo huku chakula kikiendelea kuiva na kale kajoto joto kanaleta msisimko fulani tu,ata akikaa kazini akikumbuka lazima aweweseke pekeyake!umeonaa?
Bafuni  ni sehemu nyingine nzuri sana  na inaleta sana muhemko pale mnapokua mnaendelea huku bomba la maji ya mvua likiririka kwenye!
Kwenye floor (sakafu) tena sanasana ya kwenye korido kabla ya kuingia chumbani(alipopazoea kila siku Mr) napo pako poa!Kumbuka katika mgegedo hakikisha Mista wako asikukariri!yaani asizoeee kuwa ikitoka hapa inaingia gia namba mbili.Mchezeshe kuwa inaweza azia gia namba 4 ala ika  moja then ikaja 8!Jitahidi kile ulichofanya juzi kiwe tofauti na leo.
Ukutani  nayo ipo poa sana,kuna kwenye sofa vilevile.Meza ya kulia chakula Dinning table ni zaidi ya kulia chakula nayo inaweza tumika vyema kuleta muhemko mpya kwa mpenzi wako.
ANGALIZO:
Kwenye gari inapendwa sana na wanaume bahili anaona shidasana kutoa angalau 30,000.00 au 40,000.00 alipie hotel ndomaana wanang'ang'ania sehemu hizo na mara nyingi inakua bila ya kinga!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni