Ijumaa, 15 Januari 2016

HII NI CHANGAMOTO!NILIYUMBA!

Mimi na baby wangu tulikua tunapendana sana.Tulikuwa tupo kwenye uhusiano yapata kama miaka mitano hivi,hivyo tukaamua tuoane.Ila kulikua na jambo moja dogo tu lililokuwa linanichanganya sana kichwani,yaani mdogo wa kike wa mchumba wangu aliyekua anaitwa Digna ambae kiukweli alikua mzuri sana kuliko wife.
Huyo binti(shemeji yangu) alikua na umri wa miaka 23 hivi,na muda wote alipendelea sana kuvaa sketi fupi fupi,fulana nyepesi au brauzi nyepesi na matiti yake kifua yalikaa mithili ya embe mbili dodo zilizoiva mtini zinangoja kuanguka tu chini na mbaya zaidi alikua havai sidiria!Alikua na kiuno chembamba kilichobeba hips na makalio mfano wa kubinuka  hivi.
Tatizo ni kwamba mara nyingi binti alipokuwa akiniona alikuwa na tabia ya kujipitisha na kuinama mbele yangu ili kunionesha mtaji wake.Ilikua balaa siku nyingine akiwa amevaa sketi inaonesha ramani unaona mpka ndani rangi ya bikini!Kusema kweli nilikwa navutiwa sana na uzuri wake,na pia nilijua alikua ananifanyia makusudi maana alikuwa hafanyi hivyo kukiwa na watu wengi,bila shaka alikua ananitaka.
Sikumoja binti huyo alinipigia simu niende nyumbani kwake nikaangalie kadi za mialiko ya sendoff ya dada yake(my wife) alizochapisha.Nilipofika (wakati naingia ndani) akaninong'oneza kuwa ananitamani muda mrefu sema alishindwa kunianza na kamwe hawezi jizuia tena!Akaendelea kunieleza kuwa anahitaji tufanye fasta kwani nyumbani hamna mtu hata mmoja na ana hamu sana!Nilipatwa na bumbuwazi na hasa kutokana na hizo nguo za  nusu uchi alizokuwa amevaa.Kabla sijasema lolote akawahi na kuniambia "mimi natangulia juu(nyumba yao ni ghorofa) kwenye chumba changu,kama unahitaji nikupe kitu kitamu njoo fasta nimeshalowa kabla mashetani yangu hayajapoa!"
Akageuka na kukimbilioa chumbani.Haraka nikageuka na kuelekea kwenye mlango mkubwa wa kutoka nje kuelekea kwenye gari yangu.
Daah!.......Kwa  mshangao mkubwa nikaona pale nje familia yote imekusanyika ghafla sijui walikua wametokea wapi,waliponiona nikitoka wakapiga makofi na vigelegele kwa furaha,huku wengine wakitokwa na machozi ya furaha.
Baba mkwe akanambia "Tumefurahi sana kwamba umeshinda mtego mdogo wa familia tuliokua tumeuandaa kuhusu uaminifu ulioandaliwa na familia!
Ila kiukweli unajua ni nini hasa kilikuwa kinafuata...?
Ukweli mda ule natoka kule ndani nilikua naenda kufuata condom katika gari yangu!

Maoni 1 :

  1. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    JibuFuta