Jumatano, 13 Januari 2016

MASWALI YA KIJINGA YA MCHEPUKO

Mimi na mkeo unampenda nani zaidi?
Lini utahamia hapa kwangu rasmi?
Lini na mimi utanitambulisha kwa ndugu zako baby?
Unajifanya upo kimya sana au upo bize na limke lako tu?Poa!
Natamani nikuzalie matunzo ya mtoto juu yangu na sitokusumbua tena!
Sisioni siku zangu itakuwaje?
Lini na mimi utaninunulia Vits kama ya mama Derick?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni