Alhamisi, 21 Januari 2016

UONGO WA WANAUME KAA MACHO!

Acha kabisaa wanaume ni kichomi weeh!Kuna hili boya nimezaa nalo yaani najuta ni bom! bom! kabisa na namshukuru mungu bora nimeachana nalo!
Si ni siku moja ghafla ndo nikagundua kumbe lilisha zaa kabla nami na mtoto alikuniambia!

Siku hiyo ilikua ni farthers day kampeleka mtoto Ndege Beach tukiwa wote then baadae akamrudisha kwa mamake,mimi sikufahamu aliona vipi.Yule mtoto nikamwambia msalimie mama mwambie unasalamiwa na anti,kweli mtoto ariporudi home akafikisha salamu.Bidada akaanza nafikiri sijui ni ugomvi ulianza mara meseji hiyooo!nakumbuka niliiona meseji "huyo dada ni muuza mashuka nimemzoea tu..........."sasa akili ikawaza fasta hiyo meseji unasema muuza mashuka unamaanisha mimi au?Huyo ni mzazi mwenzako mnagombana?
Kwanza akabisha.Akakataa baadae akakukbali eti baby mi sitaki maneno nae nimemwambia tuu hivyo kuepusha maneno tu!
  Na ilo jina la mzazi mwezake nilijuasiku nikiwa nae Mwanza kula bata ,kwenye simu kwa mbali niliona anachati na mdogo wake anamwambia "Bro!afuu Jane analalamika una mkwepa sana.......
Nikamuuliza Jane ni nani hasa?
Akajibu ni hause gelo wa home nikamuuliza sasa analalamika vipi huyo hausi gelo wa nyumbani na kwa kusema una muavoid?
Eti akijua niko Zenji ataomba nimpeleke zawadi nami sitaki .
Bwana baada kama mwezi nikafanya tena upeplelezi nikagundua mzazi mwenzie ndo Jane...............
Nilicheka nikaklumbuka niliitwa muuza mashuka huyui kaitwa house gelo.
Hahahaaaa men!men!men!They will never size to sap-rise me.

Maoni 1 :

  1. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    JibuFuta