Ijumaa, 15 Januari 2016

WANAUME WOTE PITIA HAPA USIFELI!

Angalia dume zima  unajisifia kuwa upo vizuri kwenye sita kwa sita alafu hamna kitu mnaboa sana tu.
Unakutana na mkaka very handsome full mvuto,ana kazi nzuri,kifua cha mazoezi msuli mkubwa yaani kila ukimwangalia vyupi inatekenya!Unavuta hisia kuwa mmmh nikimpa mzigo huyu jinsi atakavyokuwa anaimanua vizuri namimi nikijichetua kwake!hahaaaa!hatareeee!
Unazugazuga ukijifanya huna habari nae huku moyo ukiuma na kujiuliza mbona hanianzi?Nimkubalie haraka!
Siku ya siku unajitegesha tena kwake (labda kaja tena ofisini kwako na wiki nzima umemuwaza) ili akuanze ata kukuomba tu namba ya simu!Baada ya kuchat sana na meseji tamu tamu unaamua kulegeza uzi JAMAA HUYO MZIMA MZIMA unaamua kumpa mambo!
Jamaa anapiga mayowe dakika tatu tu ameshamaliza wakati ulioga na kujipodoa saa nzima kwa ajili yake tu!
Unajiuliza "What is this man doing on top of me".Mbaya zaidi baada ya kukubana kwenye tendegu la kitanda na kibano kisichokuwa na tija yoyote kwako(dakika tatu tu) na unapakwa shombo la maana na kuwa disappointed,lol!
Jamaa linabaki na kukuuliza "How do you feel baby?"was it good?"
Hapa wanaume lazima tuwape jibu la kisiasa tu "it was fine and great" hahahaaaaaa!
Alafu ninanyanyua gagulo yangu na kuelekea bafuni uku nikwa bado na manyege yangu kibao,nikirudi tu utasikia"Honey, i think we should go,nimekutya missed call za Mum"
HUPEWI TENA JOMBAAAAAA!
Ukiona umepewa mara 1 alafu ukiomba tena unazungushwa kama vile unafuatilia TIN namba kule tiaraei  ujue ULIFELI DAY 1 kaka!Hauna jipya upewe ili iweje?
Ukipewa pakua haswaaa!
ukimaliza mtu akalale kwao masaa mawili akiskilizia mtanange ulivyokua.Gegeda sana ikiwezekana mpaka mrembo asahau vyupi kitandani!
Sio mtu unakaa dakika tano anachukua taulo uyoo bafuni,Hujafanya kitu Broo!Umetegea kulima!
Angalia sana bodaboda na wapakaa kucha rangi watasaidia majukumu kaka!.
ANGALIZO:
Kula vizuri msosi na pumzika ili uwe na nguvu za ziada wakati wa mgegedo!

Maoni 1 :

  1. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    JibuFuta