Ijumaa, 15 Januari 2016

USHAURI WA BURE KWA WANAUME WOTE WABAILI!

Ningependa leo kuwapa ushauri wa bure wanaume wote wabaili katika mambo ya msingi haya yafuatayo:

Ujue tofauti ya kuchunwa na kuhudumia,unapokuwa na mpenzi ujue ni jukumu lako kumpendezesha anapopendeza watu watajua wewe ndio kidume uliemwezesha!
ANGALIZO:hatusomeshi wachumba!tunasomesha mke tu!

Sio mpaka akuombe ndo umpe jaribu kumfahamu hali ya maisha na kipato chake ujue kukisia cha kumpa kwa matumizi yake.

Acha kutumia pesa nyingi sehemu ya starehe.Kuna watu wanaenda mpaka hotel ya five star kustarehe akitumia zaidi ya laki tano.Cha ajabu baada ya kutoka hotel anamwachia mpenzi wake elfu ishirini ya bajaji tu!

Tenga at 10% ya mshahara mpe baby aangalie kama kunakitu cha kurekebisha.

Tusiwe wataalamu sana wa kutafuta G spot na kwenda chumvini sana wakati ukiombwa ata sh 50,000.00 tu,unanuna sana na kupiga chenga hata simu hupokei!Mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha na kumbuka ukishindwa kutatua tatizo la kifedha la mwanamke,kamwe hutoweza kutatua tatizo kwenye moyo wake!Jomba starehe gharama.

Maoni 1 :

  1. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    JibuFuta