Jumapili, 31 Januari 2016

UNAJUA MANENO YA UWONGO YA WANAWAKE?

Hapa chini nitaeleza baadhi ya vijimambo vya wanawake vinavyodhibitisha udhaifu wao wa kutokuwa wakweli:

(1) Tangu kukua kwangu nimewahi kutembea na mwanaume mmoja tu maishani mwangu,-Hahaaaaaa!labda tu niwashauri wanaume waachane na hili jambo la kutaka kujua mwanamke anayemtongoza au aliye na uhusiano naye aliwahi kuwa na mahusiano na wanaume wangapi, atadanganywa tu.


(2) Yaani mpenzi wangu nime enjoy sana siku ya leo, kwa mara ya kwanza nimefika kileleni, wewe ni hodari kweli – Mh, labda kama kweli umepiga game la kufa mtu, lakini kama ulipiga famba, basi hapo jua amekutukana sana kimoyomoyo huku akikusanifu kwa maneno ya ulaghai ili ujione kidume lakini wapi atakudharau sana

(3)Mimi sijawahi kuwa na mahusianao na wanaume wawili kwa wakati mmoja katika maisha yangu na sijawahi kukusaliti hata mara moja – Kwa wanawake mara nyingi kama yuko kwenye uhusiano ambao haujaota mizizi, lazima kutakuwa na mwanaume mwingine amewekwa kiporo ili mambo yasipokuwa mazuri ana pa kukimbilia, hapa ndipo ulipoibuka ule msemo wa kiingereza usemao “friend with benefit”.

(4) Nitakuwa tayari baada ya dakika sifuri tu- Ha ha ha ha haaaaa thubutu, hapo jiweke tayari kusubiri kwa muda wa saa nzima kama mna mtoko, wanawake hawajui kutunza muda hilo linajulikana na hata wao wenyewe wanajua kuhusu jambo hilo. Waje hapa wabishe……..

(6) Kwa kawaida huwa sitoi namba yangu ya simu hovyo kwa wanaume, lakini sijui kwa nini nimekuamini na kukupa namba yangu kirahisi hivi – Kama unataka kujua ukweli kwamba aliwahi kuwapa namba yake ya simu wanaume wangapi, basi kwa taarifa yako wewe utakuwa ni mwanaume wa 77 kukupa namba yake ya simu. Kwa hiyo usijione kama wewe ni kidume mwenye bahati sanaaa, thubutuuu!


(7)Ndiyo kwanza nimetimiza miaka 24 – Hapa ongeza mingine mitano kupata umri sahihi

(8)Wewe ni mwanaume wenye moyo wa upendo sijapata kuona –Hapa jiulize mara mbili, maana kwa mwanamke kukuona una upendo wakati mwingine ni vile anavyokupelekesha na wewe unajiendea tu kama zezeta

(9)Sihitaji kuwa na mahusiano na mwanaume kwa sasa- kauli hii hutolewa na wanawake walioumizwa kimapenzi, hivyo wanaogopa kuumizwa tena.

Maoni 1 :

  1. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    JibuFuta