Jumatano, 20 Januari 2016

NDOA YAVUNJIKA MKE AKIWA SEMINA!

Ilikua hivi:
Roswita ni mfanyakazi wa Shirika moja kubwa la simu nchini akiwa ameenda kwenye  semina mkoa wa Arusha kwa wiki moja ilimkuta bahati mbaya.Amekua na mazoea mazuri ya kuchat na mumewe kabla ya kulala.Kwa bahati mbaya kama vile kwake ilikua ajali alijikuta akimpa mumewe information zaidi ya mategemeo yake!

"Honey nipo kwa hotel room,soon mi nalala my hubby"

"Nitumie picha basi love japo hata nikuote tu my wife,si unajua huku Mbeya baridi sana!"

 Roswita kama kawaida yake alivua nguo na kuaza kupiga picha huku akiwa amebaki na nguo za ndani yaani bra na bikini tu.

"Baby umependeza!Ila nani kakupiga hizo picha love?"

Kabla hajajibu likafuata swali la pili.

"Who is with you in the hotel room?"

"Jimmy!What are you talking about?niliseti camera kwenye timer,honie"

"Stop lying Roswita,najua haupo alone in the hotel room!"

"Yes.I am!I swear baby unajua siwezi cheat!"

"Haya,kwanini kuna buti za kiume za Timberland katika picha yako ya pili?"

"Heeeemmm! tell me!?"

"Naita mshenga,besti man na matron ukirudi fikia kwa wazazi wako nitakukuta,asante"

Simu ilikata.........


Maoni 1 :

  1. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    JibuFuta